MUWE MAKINI USIKU MNAPORUDI TOKA PUB

MUWE MAKINI USIKU MNAPORUDI TOKA PUB

Mi ntakwambia nikizibiti cha kesi ya ubakaji mahakamani!!
 
Na kama mwenye gari ndo wife wako na wewe uko home ndo unamsubiri?
Kuna stori nilipewa binti amekwenda kumsalimia dada yake alikuwa ameolewa mkoa mwingine, basi jioni shemeji aliomba amtoe mgeni, walirudi usiku kama saa tisa, dada asubuhi mume bado amelewa chakari, dada akaona isiwe shida ngoja niwapeleke watoto shule, anafika kwenye gari anakutana na kufuli, mdogo wake yuko ndani amelewa nae chakari. Undugu ulishake sana.
 
Sasa na nyie mnafanya mapenzi kwenye gari mnavua nguo zote kama mpo chumbani.Sasa siku ukisahau chupi na mwenzio alikuona umevaa wakati unaondoka sijui utamjibuje
Unaijua Castle lite kaka?
 
Hii ni kesi kubwa, imajini unafika nayo home afu wife anaiona
Utamwambie unasoma open university unachukua masomo ya sheria, hapo umetoka field ambayo wewe ulikua kama wakili na hicho ni kidhibiti cha kesi ya kubaka.... ila utamuomba msamaha kwakuwa hukumpa taarifa kama umeanza masomo hayo!
 
Back
Top Bottom