Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,773
- 3,525
Mr.Bean ni mchekeshaji maarufu na mwenye movie nyingi sana ila binafsi muvi yake ya Mr.Bean Holiday na zile za John English zote 3 ndizo zilizonikosha zaidi japo zipo muvi ambazo sikuzielewa kiviile mf. Rat race.
Vipi wadau wenzangu ambao mmewahi kucheki movie za huyu comedian ipi ilikukosha zaidi na ipi hukuielewa?
Vipi wadau wenzangu ambao mmewahi kucheki movie za huyu comedian ipi ilikukosha zaidi na ipi hukuielewa?