Muuza magari Chris Lukosi awe makini

Machame Juu

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
1,510
3,332
Huyu Mwamba namkubali sana na namshukuru kwa kuleta ushindani hasa kwenye biashara ya magari.

Kwenye ushindani huu ambapo angalau anauza madungu jeshi kwa bei ya kuridhisha reasonable price ukilinganisha na show rooms zingine.

Fikiria wengine walikuwa wanauza na wanauza hayo magari kama ya Lukos kwa million 90 hadi 100 lakini mwamba anakuuzia kwaanzia million 30 hadi 50.

Na kwa siku anauza magari 10 kwa mwezi 100.

Nimesikia chuki, wivu na maumivu ya baadhi ya wafanybiashara wa magari wakilalamika na kumind kichiz.

Chris awe makini. Inabidi aende songea huko kwa wangoni akatafute mganga mahiri. Mimi namshauri atoe kafara ya mbwa 😆😆

Kwa ushauri azidishe kuleta range rover vogue. Sports ziko za kutosha.

Namtakia kila la heri huyu Mwamba na mpambanaji Chris Lukos na mwanajamvi mwenzetu. Alikuwaga active sana jamvini 2013-2015 ex cop.

51264043fee0738c3a04646bf0efbc49.jpg
 
Maadui sio hao wafanya biashara wa hapa tanzania tu hata wajapan wenyewe wanaweza kuwa maadui zake,hizi gari za Uk zikishakuwa nyingi watu wanaweza kubadili upepo na kuhamia gari za UK,ni gari ngumu,nzuri na swala la ulaji wa mafuta sio kivile,biashara ya magari yanapokuwa mengi maana yake spea nazo zitakuwa nyingi,kwahiyo automatically zitashuka bei...
 
Siyo kweli, anachokifanya Chris sasa hivi Mimi nilikuwa na plan nacho miaka 15 iliyopita ingawa Mimi sikutaka kuleta magari Bali some parts.

Chris si kwamba anadeal na magari kama ndio main business yake, Bali anadeal na mazagazaga mengi ambayo kwa Tanzania bado demand yake ni kubwa na madukani bei iko juu.

Kuna vitu vingine ulaya ni vya kuokota tu wala ununuwi watu hawana pa kutupa sasa wewe ndio unakuwa cleaner wao.

Nilikwama hii project kwa sababu ambazo zilkkuwa nje ya uwezo wangu lakini kwa sasa wakati ni ukuta Niko na mambo mengine, kila jambo na wakati wake.

Chris atapiga sana pesa kwenye hii project kwa sababu an meet demand za watu, na inabidi ajitahidi awe na branch Arusha na Mwanza sasa hapa ndio shida inapokuwepo either ufirisike au uwin mazima.
 
Kafungua watu akili hawezi kubaki kama monopoly wengi waleta hizo damping mda sio mrefu, yeye kinachombeba ni waminifu na kua na fair game, kitu ambacho wa bongo wengi hawana....kwa hilo ataendelea kupiga pesa ila mimi simuoni miaka mitano injao na muona katika bunge la CCM
 
Sijajua kwanini umesema sio kweli,najua kwamba Chriss ana deal na mazagazaga,ila nimeongelea kwa upande wa magari,hizo Landrovers,Range rovers,BMW na hizo Mini cooper,zimeshakuwa nyingi hata mitaani...
 
Kafungua watu akili hawezi kubaki kama monopoly wengi waleta hizo damping mda sio mrefu, yeye kinachombeba ni waminifu na kua na fair game, kitu ambacho wa bongo wengi hawana....kwa hilo ataendelea kupiga pesa ila mimi simuoni miaka mitano injao na muona katika bunge la CCM
Itabidi akane uraia wa uingereza
 
Back
Top Bottom