Muuza magari Chris Lukosi awe makini

Muuza magari Chris Lukosi awe makini

Wivu wa Nini Sasa yeye anauza used za UK Hawa wanauza used za Japan mbona biashara mbili hazifanani.
Gari za UK hata ukiuziwa Bei ya IST still Kama huna pesa utapaki tu kwa ishu ya mafuta na spare
Unanikumbusha Mwanajeshi mmoja afisa alinunua gari la kutembea Volvo, baada ya kustaafu kazi akawa analipaki tu.
Mwisho aliamua kuliuza, rafiki yangu alilinunua kwa Tsh. Laki tano tu.
Linakunywa mafuta kama limetumwa vile.
 
Huyu Mwamba namkubali sana na namshukuru kwa kuleta ushindani hasa kwenye biashara ya magari.

Kwenye ushindani huu ambapo angalau anauza madungu jeshi kwa bei ya kuridhisha reasonable price ukilinganisha na show rooms zingine.

Fikiria wengine walikuwa wanauza na wanauza hayo magari kama ya Lukos kwa million 90 hadi 100 lakini mwamba anakuuzia kwaanzia million 30 hadi 50.

Na kwa siku anauza magari 10 kwa mwezi 100.

Nimesikia chuki, wivu na maumivu ya baadhi ya wafanybiashara wa magari wakilalamika na kumind kichiz.

Chris awe makini. Inabidi aende songea huko kwa wangoni akatafute mganga mahiri. Mimi namshauri atoe kafara ya mbwa

Kwa ushauri azidishe kuleta range rover vogue. Sports ziko za kutosha.

Namtakia kila la heri huyu Mwamba na mpambanaji Chris Lukos na mwanajamvi mwenzetu. Alikuwaga active sana jamvini 2013-2015 ex cop.

Unampigia promo au sio
 
Huyu Mwamba namkubali sana na namshukuru kwa kuleta ushindani hasa kwenye biashara ya magari.

Kwenye ushindani huu ambapo angalau anauza madungu jeshi kwa bei ya kuridhisha reasonable price ukilinganisha na show rooms zingine.

Fikiria wengine walikuwa wanauza na wanauza hayo magari kama ya Lukos kwa million 90 hadi 100 lakini mwamba anakuuzia kwaanzia million 30 hadi 50.

Na kwa siku anauza magari 10 kwa mwezi 100.

Nimesikia chuki, wivu na maumivu ya baadhi ya wafanybiashara wa magari wakilalamika na kumind kichiz.

Chris awe makini. Inabidi aende songea huko kwa wangoni akatafute mganga mahiri. Mimi namshauri atoe kafara ya mbwa 😆😆

Kwa ushauri azidishe kuleta range rover vogue. Sports ziko za kutosha.

Namtakia kila la heri huyu Mwamba na mpambanaji Chris Lukos na mwanajamvi mwenzetu. Alikuwaga active sana jamvini 2013-2015 ex cop.

Hongera zake!
 
One of the best interview. Safi sana Lukosi. Uko vizuri. Vijana wana mengi ya kujifunza hapa
 
Chris Lukosi kila siku watu walikuwa wanakupa tahadhari ya kwamba usichanganye siasa na biashara ,na ushukuru sana wajeda waliwahi kukaa pale Junction ya Lake Oil maana wangechoma kile kituo next stop ilikuwa wanaenda kuchoma nyumba yako na ofisi yako ya kC.

Watu wanaumizwa wewe unawaletea mizaha ,picha zote ulizopost za kuwakejeli siku chache kabla ya maandamano umezifuta kwenye account yako ya facebook na instagram ,please watu wana hasira usiwaletee mambo ya kuwakejeli kwa kueleza hisia zao ,wewe uza madungu yako na vifaa vyako ,kama lengo ni kukwepa kodi kwa kuisifia SISIEMU basi wewe isifie bila kukashifu watu walio na mitazamo tofauti.

WaTZ unaowakejeli ndiyo wanunuzi wakubwa sana wa bidhaa zako ,usirudie tena kuleta ujinga ,hii haijaisha mpaka iishe ,kikinuka tena utakuta mjengo wako wa mbweni na KC team ofisi majivu tupu.
 
Naunga mkono hoja
 
Huyo jamaa ni anashirikiana na MaCCM kupanga ugaidi nje ya nchi
 
Jana Chris Lukosi alipewa warning kwamba atatembelewa kusalimiwa D9 akaanza kufulumusha matusi kwamba kajipanga na kawaalika Gen Z waje atawaonyesha Show maana waliwaonea wale wa MO29 ila siyo yeye.

Sasa Gen Z inabidi D9 akafundishwe adabu maana kajaa kwenye 18.
 
Back
Top Bottom