Muuza chips atunukiwa nishani na Prof. Kikwete

Muuza chips atunukiwa nishani na Prof. Kikwete

mkuu unadhani kwann mkapa alikubali kupanda mahakamani na kumtetea na kwann kapewa ukuu wa chuo chao kule bagamoyo
huu mtandao wa hawa jamaa unaligharimu sana taifa hili. leo hii tanzania ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani na hawa jamaa wapo kwenye utumishi wa umma kwa zaidi ya 70% tangia uhuru wa nchi hii. leo hii wako bize mitandaoni kututukana kuwa hatujasoma lakini ukiangalia wao waliosoma hamna wanachokifanya zaidi ya kuliibia taifa hili. sasa hivi wamefikia hatua ya kuliibia taifa kwa kutumia benki zao tena kuanzia viongozi wao mpaka waumini. ukiangalia kwa mfano list ya escrow utadhani zile hela zimetolewa kutoka parokia fulani hivi huko nanguruwe mkoani ruvuma.
 
naomba kuuliza kidogo tu,hivi huwa nishani haziambatani na japo hela kidogo?
 
Hivi unayesema Lowasa ni fisadi, ni ufisadi gani alioufanya?, hivi kuwajibika kwake kwa yaliyotokea akiwa kama Kiongozi ni ufisadi? au mlitaka awe king'ang'anizi kama mfalme Wa nyuki?.
 
lowassa anawatesa watu sana yeye ametulia anakula maisha yake wengine wenye njaa wana angaika kwenye mitandao kumchafua......tanzania ni nchi ya ajabu sana..watu badala ya kupiga kazi wao ni kufuatilia maisha ya watu

Pumbavu!!! Unataka tuhangaike Na nani nyooooo!!!!
 
Ingekuwa busara kumwajiri katika vikosi vyetu vya ulinzi ili akaimarike na kuuonyesha ushupavu wake kwa kiwango cha juu na bora kwani angepewa mafunzo ya ziada. Hapo nishani ingepata maana halisi. Ni ushauri tu mtukufu rais.
 
Kwa kitendo cha kumnyima Comred Kafulila nishani ya ushujaa uliotukuka ni kutomtendea haki. Kwa hili mh.sana rais umeonyesha ubaguzi na chuki dhahiri dhidi ya shujaa wetu huyu aliyetuonyesha jinsi familia teule zinavyotuibia vijisenti vyetu. Natambua jinsi linavyokuumiza kichwa jambo hili lakini kakukumbusha wewe mfalme wake kuwa hujavaa nguo hivyo hujapendeza. Badala ya kumkata kichwa mveshe nishani kwa ushujaa wake wa kukueleza ukweli kukufunika shuka ili usiendelee kuabika mbele za watu wako. Hongera Kafulila kwa kujitoa mhanga na kutuokoa watanzania milioni 47.
 
Hivi hizi nishani huwa na package ya fedha?
 
Amefanya wizi gani?, kama huna hoja lala Tu, si lazima uchangie
 
Kwa kitendo cha kumnyima Comred Kafulila nishani ya ushujaa uliotukuka ni kutomtendea haki. Kwa hili mh.sana rais umeonyesha ubaguzi na chuki dhahiri dhidi ya shujaa wetu huyu aliyetuonyesha jinsi familia teule zinavyotuibia vijisenti vyetu. Natambua jinsi linavyokuumiza kichwa jambo hili lakini kakukumbusha wewe mfalme wake kuwa hujavaa nguo hivyo hujapendeza. Badala ya kumkata kichwa mveshe nishani kwa ushujaa wake wa kukueleza ukweli kukufunika shuka ili usiendelee kuabika mbele za watu wako. Hongera Kafulila kwa kujitoa mhanga na kutuokoa watanzania milioni 47.

Unadhani pipi zile kila mtu ana pataa mpe yako
 
.. Salary Slip kafulila katoswa ila alustahili nishani hiyo.....ila achaa tu naye muuza viepe achukue nishani hiyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom