assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #21
Ina maana amewashinda hata polisi wetu? Kweli Serikali IMECHOKA
waastafu wa jeshi wamept nishani acha kupotosh
Ina maana amewashinda hata polisi wetu? Kweli Serikali IMECHOKA
kijana mdogo muuza chpsi ametunukiwa nishani ya ushujaa kwa kupambana na jambazi aliekuwa na bastola na hivo kusalimisha uhai wa watu. tunapongezw uzalendo huu wa hali ya juu
ok iyo nishani itamsaidia nini?
Inamwongezea nini katika biashara yake ya chips
jamaa ni shujaa kuliko hata jeshi la polisi
Sikushushudia, hebu niambieni nishani ngapi za ushujaa or ujasiri zimetolewa na zimetolewa kwa nani.
Ninavyokumbuka hadi miaka ya 90 walikuwepo kama watano au sita tu. wale wanajeshi walionguka na ndege uwanja wa taifa (sijui hata mnara wao ulishamalizikaga kweli), mwanajeshi mmoja huko mtwara vita ya Mreno, Mwanajeshi mmoja aliyeokota bomu la mkononi akaokoa mwanafunzi, mmoja aliyelipukiwa na kombora huko Monduli. Nakatika wote hao ni mmoja tu ndo alikuwa hai. Hata hivyo, vita ya Uganda haikutoa Shujaa or Jasiri (Ajabu) zote za Msumbiji 1 & 2 hakuna. ni vile vi vita vidogo vidogo vya Comoro, Sychelles, Liberia nk nk.
Kuhusu kupambana na ujambazi, mbona wengi tu wamefanya hivyo huko nyuma nk nk nk.
Huyo anayetoa hizo medali sasa, basi inaashiria milango imefunguka. Fanyeni review muwatunuku kweli mashujaa, waliiokoa maisha ya kikosi au kombania nk nk nk.
JK ni mtu wa watu bhana ! Kwi! Kwi! Kwiiii!!!!Ina maana amewashinda hata polisi wetu? Kweli Serikali IMECHOKA
Nimecheka sana !Inamana kamzidi hata kova na chagonja!
acha kujaza server
Sio wivu ndugu, najaribu kuwaza. But im glaf umesema its a big deal. Hebu nifungue macho nishani itamsaidia nini katka banda lake la chips?
Kijana mdogo muuza chips ametunukiwa nishani ya ushujaa kwa kupambana na jambazi aliyekuwa na bastola na hivo kusalimisha uhai wa watu.
Tunapongezwa uzalendo huu wa hali ya juu.