Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,011
- 132,693
Hizi ni abc za sheria ambazo kila mtu anapaswa kuzijua.Pasco Sasa naanza kutilia shaka maelezo yako na ninaona kama unageuza mambo kuhalapisha hoja yako,kwa sheria uliyoisoma,hivi ndoa inakuwa presumed ili parties watambulike kama wanandoa na waendelee kuishi pamoja ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya ndoa sio cheti ni lile tendo, cheti ni ushahidi tuu. Mkiishi kinyumba huku mnafanya tendo ni ndoa hata kama haina cheti hii inaitwa presumption of marriage.
Wakati kuna wamefunga ndoa na wana hati na sherehe kubwa ikafanyika na ikafana sana lakini kufika chumbani ni bila bila, consummation imegoma, hapo kunakuwa hakuna ndoa it's a mare sham!.
Kwenye agreements and contacts of services, mkiisha kubaliana na mka saini, hata kama ratification haikufanyika properly upande mmoja lakini performance imefanyika, then makubaliano hayo ni halali kwa kuhalalishwa na performance.
P