Toba, kumbe ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha ♂️♂️♂️Wapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Mkuu mbona umepanic, kwani kutoa maoni yake ya moyoni limekua kosa? sio lazima tukubaliane nae, na halazimishwi kukubaliana nasi, by the way, wanaweza ishi kwa visa na resident permits , na sijawahi ona makaburi yakafukuliwa watu wakitengane hata korea kusini na kasikazini walipotengana halikutokea hilo unalosema , usichochee watu, yeye katoa anavyofikiri na sio lazima awe sahihiWapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Nchi ya Ugiriki hakuna mchanga wa kujengea,kuna meli maalumu za kubebea mchanga wanaoagiza kutoka nchi jirani,...hoja mbovu,Wazanzibari wajitenge tu kama hawawezi hata kuuza sukari Tanganyika huu Mungano wa nini..zanzibar enyewe elimu hakuna ..kisiwa kidogo mpaka mchanga wa kujengea unakosekana ..umaskini mkubwa mnao..yani zanzibar iko.kama vingunguti .vichochoro vitupu afu mwataka kujitenga ..na kila kitu mnatutegemea sisi wa bara
zanzibar enyewe elimu hakuna ..kisiwa kidogo mpaka mchanga wa kujengea unakosekana ..umaskini mkubwa mnao..yani zanzibar iko.kama vingunguti .vichochoro vitupu afu mwataka kujitenga ..na kila kitu mnatutegemea sisi wa bara
zanzibar enyewe elimu hakuna ..kisiwa kidogo mpaka mchanga wa kujengea unakosekana ..umaskini mkubwa mnao..yani zanzibar iko.kama vingunguti .vichochoro vitupu afu mwataka kujitenga ..na kila kitu mnatutegemea sisi wa bara
Mie Mzanzibari wa kutoka Wesha PembaUtajua hapo baadae jiandae kupokea tanganyika View attachment 789863
Habari ndio hio. [emoji111] [emoji4] View attachment 789833
Ukiwa tutashinda hii case, Sijajua hatua zitakazo fuata, kwa sababu mimi sio mtu wa sheria, lkn naamini ya kwamba, muungano utafikia kikomo chake kwa sababu huu Muungano ni maigizo, na fidia watalipa. Subiri tuMie Mzanzibari wa kutoka Wesha Pemba