Ha ha ha haaaaa mmeanza sio?sasa mwataka serikali ngapi yakhe?5? Ama 6? Au 10?
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,
ah ah ah, kweli hii ni ngumu kumeza, basi sisi waBARA tmeumizwa kwa kipindi chote cha miaka 49.
tulieni tu sindano itaingia labda mkimbilie omani
Mambo bado hapo hii ni Rasimu tu Mkuu
subiri andiko la Katiba Mpya ndiyo utajua
Lazima Pemba nayo iwe Jamhuri .
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,
Mkuu kwa nini? Sisi wengine tunashangilia kurudishiwa bendera yetu, wimbo wetu wa taifa na jina la Nchi yetu. Ninyi mmekuwa navyo hivyo wakati wengine tulikuwa tunapiga miayo kuvisubiri hivyo vitu.
Wazanzibari kwa kulalamika hatuwawezi, si muwaambie viongozi wenu waache ubinafsi wadai zanzibar yenu huru mkuu.
Mlikuwa mna beep muda mrefu sasa bara tunapiga pokeeni yakheee. Itafika mahali pia tuseme moewe visa kuja bara. Ni muda tuu. Ila Maalim atakuwa mefurahi sana. Niliona pale kibanda maiti juzi mlifurahi sana, ila hii itakula, kwenu.Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,
Leo serikari 3 kesho utasikia serikari 4 mara 5 au zaidi ! Miaka 50 ya Uhuru tumeshwindwa kuwa wamoja na kuwa na serikari Moja? Na kupunguza gharama za kuiendesha serikari lufufu huku bajeti ikitegemea wafadhili toka njeNajua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,