Una akili timamu wewe...???Hapa mwenye kutakiwa kuwa na imani ya kutosha ni nani? Hebu ndugu zanguni wenye uelewa wa kutosha njooni mtupe Darasa. Nitafurahi sana kama hii mada itachangiwa sana na watu wenye kuujua ulimwengu wa roho.
Wengi wa Elimu ya kawaida watampiga vita huyu mchungaji, Lakini ningependa kusikia wenzetu wanaoujua ulimwengu wa roho wanasemaje?

Mungu hajaribiwi Wala hadhihakiwi we unafanya demo juu ya uwezo wa Mungu ili iweje.kama umeishiwa mbinu za kuhubiri tafuta kazi nyingine.Hapa mwenye kutakiwa kuwa na imani ya kutosha ni nani? Hebu ndugu zanguni wenye uelewa wa kutosha njooni mtupe Darasa. Nitafurahi sana kama hii mada itachangiwa sana na watu wenye kuujua ulimwengu wa roho.
Wengi wa Elimu ya kawaida watampiga vita huyu mchungaji, Lakini ningependa kusikia wenzetu wanaoujua ulimwengu wa roho wanasemaje?
WEWE SASA UMEKOSA ADABU, IMANI ISIYO YAKO YAKUUMIZA WAPI!Hii dini ya ajabu sana hata ukiangalia watu wake usoni utaona kuna kitu wamenyimwa hovyo sana,sijui tatizo ni nguruwe au vipi
Nahisi wewe ndio hauna akili timamu kwasababu hujanielewa nina imani wenye akili Timamu wamenielewa.Una akili timamu wewe...???
Mungu hajaribiwi Wala hadhihakiwi we unafanya demo juu ya uwezo wa Mungu ili iweje.kama umeishiwa mbinu za kuhubiri tafuta kazi nyingine.
Hakuna tofauti na muujiza wa kutoa sadaka eti mungu anakuona mpaka mfukoni wakati unafadhili uzinzi wa ma"faza"kuna tofauti gani kati ya miujiza na mazingaobwe?
Yawezekana ni mwanamke ila amekomaa kwa ajili ya kufunga na kuomba hali sana msosi

Nyie walokole ni laana nyingine katika dunia hii..
Hamna tofauti na waganga wa kienyeji sasa mmeamua kuua watu..

Mazingaombwe yamekataa inawezekana kuna jamaa atakuwa kageuza shati au tshirt ndani ya kanisa,ona sasa kashaua mwenzake,ukongaaa ya kisouth hiyooo inamuita,,pole mchungaji,,vitu vingne sio vya kujaribu,,ukijikuta fundi kuna wenzako mafundi zaidi
