mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Kidume hicho..Mkuu huyo MUUMINI kwa hiyo picha ni MWANAMKE kweli..!?
Anyways...
R.I.P
Kidume hicho..Mkuu huyo MUUMINI kwa hiyo picha ni MWANAMKE kweli..!?
Anyways...
R.I.P
Mkuu huyo MUUMINI kwa hiyo picha ni MWANAMKE kweli..!?
Anyways...
R.I.P
Ni kawaida kwa JF kila mtu kujiona ana ELIMU kubwa kushinda WENGINE,ingawa UKWELI haiko hivyo..!Swali la kishenzi!...dogo ulitoroka shuleni lini?
Hapo nachokiona ni huyu Mchungaji kumjaribu Mungu. Fikiria mtu aseme nafyatua hii Risasi ya AK47 lakini kwa imani haitaniua! Ujinga huo, Mungu hajaribiwi. Kumbuka Shetani alipomjaribu yesu juu kabisa ya mlima na kumwonyesha miliki ya ulimwengu na kisha akamwambia ajirushe maana Mungu atatuma malaika wamwokoe asiumie, lakini yesu alimjibu usimjaribu Bwana Mungu wako. hawa wahubiri uchwara wa miaka hii njaa tu inawasumbua. Watu pia waangamia kwa kukosa maarifa. Huyu mama alikosa maarifa.Hapa mwenye kutakiwa kuwa na imani ya kutosha ni nani? Hebu ndugu zanguni wenye uelewa wa kutosha njooni mtupe Darasa. Nitafurahi sana kama hii mada itachangiwa sana na watu wenye kuujua ulimwengu wa roho.
Wengi wa Elimu ya kawaida watampiga vita huyu mchungaji, Lakini ningependa kusikia wenzetu wanaoujua ulimwengu wa roho wanasemaje?
Hapo nachokiona ni huyu Mchungaji kumjaribu Mungu. Fikiria mtu aseme nafyatua hii Risasi ya AK47 lakini kwa imani haitaniua! Ujinga huo, Mungu hajaribiwi. Kumbuka Shetani alipomjaribu yesu juu kabisa ya mlima na kumwonyesha miliki ya ulimwengu na kisha akamwambia ajirushe maana Mungu atatuma malaika wamwokoe asiumie, lakini yesu alimjibu usimjaribu Bwana Mungu wako. hawa wahubiri uchwara wa miaka hii njaa tu inawasumbua. Watu pia waangamia kwa kukosa maarifa. Huyu mama alikosa maarifa.
Yawezekana ni mwanamke ila amekomaa kwa ajili ya kufunga na kuomba hali sana msosiMkuu huyo MUUMINI kwa hiyo picha ni MWANAMKE kweli..!?
Anyways...
R.I.P