Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,657
- 112,577
Yesu....🙆♂️Mangi nenda taratibu huyo ni dume.
Yesu....🙆♂️Mangi nenda taratibu huyo ni dume.
Kuchagua kuwa muislam ni kuchagua kuwa mjinga.Ndio mkuu karibu kwenye dini ya Hakki yako mengi mno.
Ameweka wazi hapo kila kitu na wewe na huo uislam wako shush vitu kwenye hilo tunda kimashara tuone,kuhusu kaandika nani huo uwe mjadala mwengine.Mimi muislam lakini hizi mambo sizikubali wala nini.
Kwanza aliyepanga surah Fulani ikae namba ngapi sio Allah ni binaadamu tu ndo walipanga. Quran imeshushwa bila mpangilio.
Halafu hizi uhusiano wa namba unaweza kuitafuta na kupata popote hata kwenye Uzi wa tunda kimasihara.
Siwezi kuwa muislamu Bora niwe mpagani. Why Muhammad alioa mtoto Ana miaka 9. Na kwanini mtume wa mungu bwana muddy alirogwa. Uislam ni ushetaniAmani iwe juu yenu.
Surat NAHAL.
katika mpangilio wa Qur'an hii ni sura ya (16)
Sura hii ina jumla ya Aya 128.
Je, kuna uhusiano gani kati ya jina la sura na namba ya sura (16), Na namba za Aya 128,
Naam upo mkubwa sana
Kisayansi NAHAL (Nyuki dume)
Ana chromosomes 16, Ambazo ndio namba ya Sura.
Nyuki Jike ana jumla ya chromosomes (2n) ambayo ni 32, Ambayo ni sawa na (16×2)
Kwahio Namba ya Sura 16, inaonyesha chromosomes za Nyuki Dume na Nyuki Jike.
Sura ina Aya 128 hii ina maana ni mara 8 ya Nyuki dume na Mara nne ya jumla ya gawio (proportion) ya namba za chromosomes.
Namba ya chromosomes ni kama namba ya element haibadiriki popote pale duniani.
Neno NAHAL limekuja Mara 1 tu katika Qur'an yote na limekuja katika Aya namba 68.
Katika Aya namba 68 jumla ya maneno yote ni 13, ukichukuwa 68×13=884.
Chakushangaza hapa ni kwamba ukianza kuhesabu maneno kuanzia mwanzo wa sura mpaka ukifikia neno NAHAL utapata vilevile 884.
Lakini utashangaa zaidi kuona idadi ya Aya namba 16 katika Qur'an nzima ni 85 na jumla ya maneno katika Aya zote hizi pia ina kuja 884.
Na chakushangaza kingine ni kuwa idadi ya Aya namba 68 katika Qur'an nzima ni 13 na ukizidisha hizi namba yaani, 13×68 utapata tena 884.
Jumla ya Aya katika sura hii zinazogawanyika kwa 16 ni 16,32,48,80,96,112 na 128.
Ukihesabu jumla ya maneno yote katika Aya hizi utapata 119, Chakushangaza ni kuwa Dramatic Value ya neno NAHAL ni 119.
Chakushangaza tena hapa ni kuwa idadi ya Sura zinazogawanyika kwa 16, kuanzia mwanzo wa Qur'an mpaka Sura hii ni 119.
Tumeona kwa jumla ya Aya zinazogawanyika kwa 16 ni Aya 85 ukizidisha 16×85 tunapata 1360 na tuliona kuwa jumla ya maneno katika Aya hizi ni 884.
Tukijumlisha 1360+884 tunapata 2244, Jumla ya maneno katika Sura hii 1844 idadi ya maneno ukijumlisha na namba ya Sura 16 unapata 1860.
Mwanzo tulipata 2244 tukijumlisha na 1860 utapata 4,104
1;*4,104=*19×216
216=6×6×6×6
Hii namba 6 inakuwa ni namba ya pembe kwenye (hexagon) pembe 6 ambayo ndio Umbo la Asali
2. Namba hii pia ni jumla ya (Numerical value) ya Aya namba 68 Aya ambayo jina LA NAHAL (Nyuki) limetajwa.
Numerical value ni namba ya neno linavyo andikwa katika mfumo wa namba
karibuni katika Uislam.
Kwani shida iko wapi Nyie muna dini yenu na sisi tuna dini yetu Ubishi na kashfa za kitu gani.Amini unachoweza kuamini na sisi tuna amini UISLAMU Full Stop.View attachment 2860457
View attachment 2860458
Dont try to fool us😅 It is believed that waraquah was translating the Bible from Greek into Arabic and Muhammad was using these texts to create his Quran so when waraquah died the Quran stopped coming. Later he discovered Sabina texts which he started using as reference as well as stories he would hear from traders, Christian slaves and Jews. He became know as "The Ear"😅 because if he would hear people talking about something and it would all of a sudden appear in the Quran😅. He was oftenly called a faker until he gained the support of criminal tribes and gangs and established an army and gained respect through fear and terror.
This guy never ceases to amaze me😅
A MUSLIM WHO READS THE QURAN IS A MUSLIM, A MUSLIM WHO UNDERSTANDS THE QURAN IS AN EX-MUSLIM.
Hapa ndani hakuna wanazuoni ya kukujibu masuala yako lakini unajua wapi pa kuuliza hayo masuala yako utapata jawabu mjarabu ushindwe wewe tu .Siwezi kuwa muislamu Bora niwe mpagani. Why Muhammad alioa mtoto Ana miaka 9. Na kwanini mtume wa mungu bwana muddy alirogwa. Uislam ni ushetani
Aliyepanga sura za quran ni nani manake ninacholelewa hayo maneno yalikuwa yanashuka zigzag halafu Muhammad aliiona quran?Kitabu kimeandikwa miaka mingapi baada ya kifo cha mtume?Na waliokiandika ni kina nani?Hence he didn't know how to read or write how he did such a wonderful job...daah nyie watu
Hutaki challenge?? Unataka kuamini vitu hivohivo tuu bila kufikiria na kutumia akili?? Kama jibu "Yes" bac sawa, tutawaacha.Kwani shida iko wapi Nyie muna dini yenu na sisi tuna dini yetu Ubishi na kashfa za kitu gani.Amini unachoweza kuamini na sisi tuna amini UISLAMU Full Stop.
Umewahi kusoma Qur'an 22:52Maneno yapi yaliingizwa
Kwani hapa tz hakuna watu walio olewa kwa 13 au chini ya hapo hiyo sio hoja mkuu mtoto wa kiarab wa miak 9. Miaka 1400 iliyo pita huwezi kumfananisha na wazama hizi hasa katika muonekano halafu hizo ni tamaduni zaoSiwezi kuwa muislamu Bora niwe mpagani. Why Muhammad alioa mtoto Ana miaka 9. Na kwanini mtume wa mungu bwana muddy alirogwa. Uislam ni ushetani
Subhanallah!Amani iwe juu yenu.
Surat NAHAL.
katika mpangilio wa Qur'an hii ni sura ya (16)
Sura hii ina jumla ya Aya 128.
Je, kuna uhusiano gani kati ya jina la sura na namba ya sura (16), Na namba za Aya 128,
Naam upo mkubwa sana
Kisayansi NAHAL (Nyuki dume)
Ana chromosomes 16, Ambazo ndio namba ya Sura.
Nyuki Jike ana jumla ya chromosomes (2n) ambayo ni 32, Ambayo ni sawa na (16×2)
Kwahio Namba ya Sura 16, inaonyesha chromosomes za Nyuki Dume na Nyuki Jike.
Sura ina Aya 128 hii ina maana ni mara 8 ya Nyuki dume na Mara nne ya jumla ya gawio (proportion) ya namba za chromosomes.
Namba ya chromosomes ni kama namba ya element haibadiriki popote pale duniani.
Neno NAHAL limekuja Mara 1 tu katika Qur'an yote na limekuja katika Aya namba 68.
Katika Aya namba 68 jumla ya maneno yote ni 13, ukichukuwa 68×13=884.
Chakushangaza hapa ni kwamba ukianza kuhesabu maneno kuanzia mwanzo wa sura mpaka ukifikia neno NAHAL utapata vilevile 884.
Lakini utashangaa zaidi kuona idadi ya Aya namba 16 katika Qur'an nzima ni 85 na jumla ya maneno katika Aya zote hizi pia ina kuja 884.
Na chakushangaza kingine ni kuwa idadi ya Aya namba 68 katika Qur'an nzima ni 13 na ukizidisha hizi namba yaani, 13×68 utapata tena 884.
Jumla ya Aya katika sura hii zinazogawanyika kwa 16 ni 16,32,48,80,96,112 na 128.
Ukihesabu jumla ya maneno yote katika Aya hizi utapata 119, Chakushangaza ni kuwa Dramatic Value ya neno NAHAL ni 119.
Chakushangaza tena hapa ni kuwa idadi ya Sura zinazogawanyika kwa 16, kuanzia mwanzo wa Qur'an mpaka Sura hii ni 119.
Tumeona kwa jumla ya Aya zinazogawanyika kwa 16 ni Aya 85 ukizidisha 16×85 tunapata 1360 na tuliona kuwa jumla ya maneno katika Aya hizi ni 884.
Tukijumlisha 1360+884 tunapata 2244, Jumla ya maneno katika Sura hii 1844 idadi ya maneno ukijumlisha na namba ya Sura 16 unapata 1860.
Mwanzo tulipata 2244 tukijumlisha na 1860 utapata 4,104
1;*4,104=*19×216
216=6×6×6×6
Hii namba 6 inakuwa ni namba ya pembe kwenye (hexagon) pembe 6 ambayo ndio Umbo la Asali
2. Namba hii pia ni jumla ya (Numerical value) ya Aya namba 68 Aya ambayo jina LA NAHAL (Nyuki) limetajwa.
Numerical value ni namba ya neno linavyo andikwa katika mfumo wa namba
karibuni katika Uislam.
Ndio naifahamu, Allah anaelezea jinsi sheitwan alivyo haribu vitabu vilivyo pita kabla ya Qur'an kwa kutia maneno yake,Umewahi kusoma Qur'an 22:52
Never did We send a Messenger or a Prophet before you, but; when he did recite the revelation or narrated or spoke, Shaitân (Satan) threw (some falsehood) in it. But Allâh abolishes that which Shaitân (Satan) throws in.
Kasome kwenye tafsir za Ibn Kathir au Al Jalalayn au yoyote unayoijua wewe hamna ambayo inasema aya hii inazungumzia vitabu tofauti na Qur'an. Isipokuwa wanasema Shetani aliingiza maneno yake kwenye recitation ya mtume Muhammad.Ndio naifahamu, Allah anaelezea jinsi sheitwan alivyo haribu vitabu vilivyo pita kabla ya Qur'an kwa kutia maneno yake,
Umeelewa vibaya tafsiri mkuuKasome kwenye tafsir za Ibn Kathir au Al Jalalayn au yoyote unayoijua wewe hamna ambayo inasema aya hii inazungumzia vitabu tofauti na Qur'an. Isipokuwa wanasema Shetani aliingiza maneno yake kwenye recitation ya mtume Muhammad.
hehehehe sawa ngoja niishie hapa. Mungu akubariki kwa kujitahidi kunijibu kwa kadri ya uelewa wako, naheshimu dini yako. Yesu anakupenda.Umeelewa vibaya tafsiri mkuu
Qur'an Mtume aliihifadhi(Memorised )yote yeye pamoja na Swahaba zake........yaani sio tu kuiona bali aliihifadhi ndani ya kifua chake.Aliyepanga sura za quran ni nani manake ninacholelewa hayo maneno yalikuwa yanashuka zigzag halafu Muhammad aliiona quran?Kitabu kimeandikwa miaka mingapi baada ya kifo cha mtume?Na waliokiandika ni kina nani?