cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,083
- 10,118
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo nyuki anaingiaje hapo kwenye Quran [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waislamu wa karne hii wamechanganhikiwa kabisa
Je unaongelea Quran ipi hii ya muhawiya authman au ya sanaa Yemen au ya Algeria maana Quran zipo nyingiAhsante kwa ufafanuzi mzuri, quran ni moja ya kitabu ambacho kipo very unique kuanzia mpangilio wa sura, aya na maneno yake pia kina sayansi na sanaa ya hali ya juu kabisa.
Hayo mambo hayapo zaidi ya kusema mjusi kafiri auliweYapo zaidi ya hayo mkuu Uzi si ungekuwa mrefu sana
Ni utukufu wa Allah ndio maana mpaka leo hakuna alietoa mfano wake na wakitoa fasta inagundulikaQur'an nzima ina mahesbu mengi,ambayo inainyosha ushihi wake.Kwa maana ukiongeza herufi moja tu,tayari inagundulika ki urahisi.Sijui kumetumika utaalamu wa aina gani.Lakini ni wa hali ya juu sana.
🤣🤣🤣🤣 Long live JFNataka kufuga jini vipi unaweza kuniuzia
Je unajua kuna version zaidi ya mbili za Quran... Hii mnayosema ipo moja ni Quran ya muhawiya alichoma Quran zingine zote akabakisha anayoitaka yeye... Utasemaje sijui ipo sahihi.. Ukibisha tafuta sanaa manuscriptQur'an nzima ina mahesbu mengi,ambayo inainyosha ushihi wake.Kwa maana ukiongeza herufi moja tu,tayari inagundulika ki urahisi.Sijui kumetumika utaalamu wa aina gani.Lakini ni wa hali ya juu sana.
Hakika mkuu Qur'an ni muujiza mkubwa kwa kwenye AkiliPost hii aione Mcqueenen aliyeandika post #11. Composition ya Quran kutumia mfumo wa kimahesabu ndiyo msingi wa Mwenyezimungu kutoa challenge kwa watu kuwa walete japo aya yenye mfano wa Quran. Lakini pia ndio msingi wa kutobadilishwa Quran ulipo tofauti na ilivyotokea katika Taurati, Zaburi na Injili. Vitabu hivyo vimetiwa mikono ndio mjuzi wa mambo akaileta Quran katika mtindo wa numbering/numeric.
Qur'an inamazingatio kwa kwenye akili kama unaona ni uongo ni udhaifu wako piaHuu ni uongo kama ulivyo uongo mwingine wa waislam aka Taqqiya.
Wanazuoni kadhaa wa Kiislam wamecritisize sana huu uongo na wewe leo umeamua kutuletea hapa ili uwashike wajinga na wasiojielewa. Kwanza kwa kufanya hivi hausaidii Uislam bali unazidi kuonesha ulivyo na madhaifu.
Nakuwekea hapa critique mojawapo iliyoko mtandaoni usome mwenyewe na ukipenda google tu utaona kuwa hii dhana imekuwa debubked na haifai hata kuiongelea hadharani
Common critiques of numerological claims also apply to the Quran Code. Critics often invoke the concept of Stochastic processes to explain how seemingly mystical patterns could appear in any large dataset. One such critic was Bilal Philips, who argued that Rashad Khalifa's "miracle 19" theory was a hoax based on falsified data, misinterpretations of the Quran's text, and grammar inconsistencies.[15]
Additionally, since early Quran manuscripts can contain orthographic differences in certain passages, the precise number of letters in those sections can be unclear.[16][17] For example, since the frequency of the letter Alif is subject to debate, there is not an universally agreed letter count in the Alif initialized Surahs. However, to prove his theory Khalifa chose those versions of the text that included letter frequencies divisible by 19.[18] Additionally, Khalifa claimed that the initial "Nūn" in Surah 68 should be spelled as to include an additional Nūn: "Nūn Wāw Nūn" in place of the orthodox spelling, "Nūn". This allowed Khalifa to claim that there are 133 (19×7) Nūns in Surah 68, instead of 132, which is not a multiple of 19. However, Khalifa's spelling does not appear in any Quranic manuscripts.[19] He also assumed that the correct spelling or reading of the word "basṭatan", which occurs in Surah 7, verse 69, contains the Arabic letter Sīn instead of the letter Sād, which is the conventional spelling.[20][21] He based this assertion on the Samarkand Codex, an 9th century Quranic manuscript which includes a spelling with the letter Sīn in place of Sād.[22]
Khalifa also claimed that two verses in the Quran, specifically Surah 9, verses 128 and 129, were humanly added, and should not be included. He supports this claim by the hadith Sahīh al-Buchārī 7425, according to which Zaid ibn Thābitm, tasked by Abu Bakr with compiling the Quran, found only one witness to attest to the validity of verses 9:128–129, Chuzaima al-Ansari.[23] Thus, Khalifa claimed that the Quran has only 6346 verses instead of the traditional count of 6348. The omission of these verses is integral to his theory; if these two verses are taken into account, there are 2699 occurrences of the word "Allah" and 115 occurrences of the word "Rahim", neither of which are multiples of 19.
Furthermore, the version of the Quran code is questioned, as it is only used for certain aspects or Quranic initials. Surahs that are not initiated are not fully examined in this context. Since early Quran manuscripts differ orthographically in certain passages, it makes it difficult to reconstruct an "urtext" – or in another expression a "primordial text" – for the Quran, which in turn is used for letter enumerations as well as gematria.[24][25]
Quran code - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Ni somo la kumfahamu Nyuki kwa ujumla wakeBaada ya kutueleza yote haya, unaweza kututafsiria hesabu hii inamaanisha nini katika maisha ya kawaida ya mwanadamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nalo, yamepita tungange yajayo.Swali gani mkuu sija kujibu
Wanasayansi waliacha kazi zao na kumchunguza Nyuki ambae amezungumziwa kwenye Qur'an ano walichanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo nyuki anaingiaje hapo kwenye Quran [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waislamu wa karne hii wamechanganhikiwa kabisa
Wanasayanai philosophy yetu ni uchunguzi na sio kusadiki kama mnavyofanya wafuasi wa diniWanasayansi waliacha kazi zao na kumchunguza Nyuki ambae amezungumziwa kwenye Qur'an ano walichanganyikiwa
Mangi nenda taratibu huyo ni dume.Kama utakubali kuwa second wife, nipo tayari kuja kwenye din ya hak...🤗
Aisee daaah sawa bhana [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni somo la kumfahamu Nyuki kwa ujumla wake
Subhanna Allah. Qur'an ni muujiza mubashar "live".Amani iwe juu yenu.
Surat NAHAL.
katika mpangilio wa Qur'an hii ni sura ya (16)
Sura hii ina jumla ya Aya 128.
Je, kuna uhusiano gani kati ya jina la sura na namba ya sura (16), Na namba za Aya 128,
Naam upo mkubwa sana
Kisayansi NAHAL (Nyuki dume)
Ana chromosomes 16, Ambazo ndio namba ya Sura.
Nyuki Jike ana jumla ya chromosomes (2n) ambayo ni 32, Ambayo ni sawa na (16×2)
Kwahio Namba ya Sura 16, inaonyesha chromosomes za Nyuki Dume na Nyuki Jike.
Sura ina Aya 128 hii ina maana ni mara 8 ya Nyuki dume na Mara nne ya jumla ya gawio (proportion) ya namba za chromosomes.
Namba ya chromosomes ni kama namba ya element haibadiriki popote pale duniani.
Neno NAHAL limekuja Mara 1 tu katika Qur'an yote na limekuja katika Aya namba 68.
Katika Aya namba 68 jumla ya maneno yote ni 13, ukichukuwa 68×13=884.
Chakushangaza hapa ni kwamba ukianza kuhesabu maneno kuanzia mwanzo wa sura mpaka ukifikia neno NAHAL utapata vilevile 884.
Lakini utashangaa zaidi kuona idadi ya Aya namba 16 katika Qur'an nzima ni 85 na jumla ya maneno katika Aya zote hizi pia ina kuja 884.
Na chakushangaza kingine ni kuwa idadi ya Aya namba 68 katika Qur'an nzima ni 13 na ukizidisha hizi namba yaani, 13×68 utapata tena 884.
Jumla ya Aya katika sura hii zinazogawanyika kwa 16 ni 16,32,48,80,96,112 na 128.
Ukihesabu jumla ya maneno yote katika Aya hizi utapata 119, Chakushangaza ni kuwa Dramatic Value ya neno NAHAL ni 119.
Chakushangaza tena hapa ni kuwa idadi ya Sura zinazogawanyika kwa 16, kuanzia mwanzo wa Qur'an mpaka Sura hii ni 119.
Tumeona kwa jumla ya Aya zinazogawanyika kwa 16 ni Aya 85 ukizidisha 16×85 tunapata 1360 na tuliona kuwa jumla ya maneno katika Aya hizi ni 884.
Tukijumlisha 1360+884 tunapata 2244, Jumla ya maneno katika Sura hii 1844 idadi ya maneno ukijumlisha na namba ya Sura 16 unapata 1860.
Mwanzo tulipata 2244 tukijumlisha na 1860 utapata 4,104
1;*4,104=*19×216
216=6×6×6×6
Hii namba 6 inakuwa ni namba ya pembe kwenye (hexagon) pembe 6 ambayo ndio Umbo la Asali
2. Namba hii pia ni jumla ya (Numerical value) ya Aya namba 68 Aya ambayo jina LA NAHAL (Nyuki) limetajwa.
Numerical value ni namba ya neno linavyo andikwa katika mfumo wa namba
karibuni katika Uislam.