Gezuz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 1,010
- 1,353
Umemsahihisha mwenzio kimakosa,Mkuu ni 2006 si 2016!. Hiyo 2006 alikuwa ni bibi tayari asingeruhusiwa kugombea.
na wewe unahitaji masahihisho.
.
.
"Mkuu ni 2006 si 2016.......hiyo 2006 alikuwa bibi tayari......"
Ndo nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app