Muswada wa umri wa kustaafu kujadiliwa kamati za Bunge

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Vikao vya kamati za Bunge vimeanza huku miongoni mwa miswada itakayojadiliwa ikiwa ni ule utakaoongeza umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 60 hadi 65 kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa umma.

Marekebisho hayo yapo katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali Namba Tano wa Mwaka 2017 ambao utazihusisha sheria tano ikiwamo ya Utumishi wa Umma sura namba 298 ambapo kifungu kipya cha 25A kitaongezwa.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mohamed Mchengerwa ndio itakayojadili muswada huo ambao utahusisha pia sheria nyingine tano.

Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju lengo la kuongezwa kwa kifungu hicho ni kuweka kwenye masharti ya umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma ambayo hayapo kwenye sheria ya sasa.

“Mapendekezo ya kuongeza kifungu kipya yanalenga kuweka utaratibu mpya wa umri wa kustaafu kwa maprofesa na wahadhiri waandamizi wa vyuo vikuu vya umma na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa hospitali za umma,” alisema.

Alisema mfumo huo mpya unalenga kuongeza umri wa kustaafu wa utumishi wa umma kwa ridhaa kwa maprofesa na wahadhiri waandamizi wa vyuo vikuu vya umma na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa hospitali za umma ili uwe 60 kwa wale wanaostaafu kwa hiari badala ya 55 wa sasa.

Pia, mfumo huo unalenga kuongeza umri wa kustaafu kwa lazima uwe miaka 65 badala ya sasa wa miaka 60 ya sasa.

“Marekebisho haya yanalenga kutekeleza maamuzi ya Serikali yanayolenga kuongeza umri wa kustaafu kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi wa madaktari bingwa wa binadamu kutoka vyuo vikuu vya umma na hospitali za umma,” alisema.

Masaju alisema katika maelezo ya muswada huo kuwa kuongeza umri kwa kada hizo kutapunguza gharama kwa Serikali ya kuingia mikataba na wataalamu hao mara wanapostaafu.

Alisema pia uamuzi huo utaongeza muda kwa wataalamu wengine kulitumikia Taifa kwa muda mrefu zaidi na pia kufundisha na kukuza wataalamu wachanga walioko chini.

~ Mwananchi
 
Ni vema wafikirie na kwa wanasiasa wawe na kikomo cha miaka 65 kwa Lazima. Baada ya hapo mtu asiruhusiwe kugombea nafasi yoyote ya kisiasa iwe Rais, Mbunge wa Diwani. Na iwe hivyo mpaka ndani ya vyama vya Siasa. Ili watanzania wenye umri wenye nguvu ya kufanya kazi na kuitumikia nchi yao waweze kushiriki kwenye siasa na uongozi wa taifa lao wakiwa bado wana nguvu. Na wazee wapumzike wafanye biashara, uvuvi, kuchimba madini, kurina asali, kilimo, n.k.
 
Hii ita effect kwa mzunguko wa kwanza wa miaka 5 iliyoongezwa kuziba upungufu wa wahadhiri. Baada ya hao kustaafu kama hakuna mkakati wa kuongeza wahadhiri,mambo yatarudia palepale. Naunga mkono hoja kwa tahadhari hiyo.
 
Kwa taarifa yako: Stephen Masato Wassira kugombea tena ubunge jimbo la Bunda
 
NI WAZO ZULI SANA KIONGOZI LAKINI VIPI KUHUSU UMRI WA KUSTAAFU UBUNGE NA UWAZIRI

WAMEZUNGUMZIAJE KUHUSU HILOOO
 
Hii ita effect kwa mzunguko wa kwanza wa miaka 5 iliyoongezwa kuziba upungufu wa wahadhiri. Baada ya hao kustaafu kama hakuna mkakati wa kuongeza wahadhiri,mambo yatarudia palepale. Naunga mkono hoja kwa tahadhari hiyo.

Siungi mkono kwani sio wote wanaokuwa na umri above 60 wanakuwa na uwezo tena hata wa kufundisha, nashahuri ingebaki hivi hivi, ila wale tunao ona wana uwezo wapewe mikataba special ya hiyari.
 
Naona wazee wanazidi kujipea muda wa kuendelea kurina asali ya taifa, then wanawasisitiza vijana mtumie elimu mnayo ipata ili mjiajiri......
 
Vikao vya kamati za Bunge vimeanza huku miongoni mwa miswada itakayojadiliwa ikiwa ni ule utakaoongeza umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 60 hadi 65 kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa umma.

Marekebisho hayo yapo katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali Namba Tano wa Mwaka 2017 ambao utazihusisha sheria tano ikiwamo ya Utumishi wa Umma sura namba 298 ambapo kifungu kipya cha 25A kitaongezwa.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mohamed Mchengerwa ndio itakayojadili muswada huo ambao utahusisha pia sheria nyingine tano.

Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju lengo la kuongezwa kwa kifungu hicho ni kuweka kwenye masharti ya umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma ambayo hayapo kwenye sheria ya sasa.

“Mapendekezo ya kuongeza kifungu kipya yanalenga kuweka utaratibu mpya wa umri wa kustaafu kwa maprofesa na wahadhiri waandamizi wa vyuo vikuu vya umma na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa hospitali za umma,” alisema.

Alisema mfumo huo mpya unalenga kuongeza umri wa kustaafu wa utumishi wa umma kwa ridhaa kwa maprofesa na wahadhiri waandamizi wa vyuo vikuu vya umma na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa hospitali za umma ili uwe 60 kwa wale wanaostaafu kwa hiari badala ya 55 wa sasa.

Pia, mfumo huo unalenga kuongeza umri wa kustaafu kwa lazima uwe miaka 65 badala ya sasa wa miaka 60 ya sasa.

“Marekebisho haya yanalenga kutekeleza maamuzi ya Serikali yanayolenga kuongeza umri wa kustaafu kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi wa madaktari bingwa wa binadamu kutoka vyuo vikuu vya umma na hospitali za umma,” alisema.

Masaju alisema katika maelezo ya muswada huo kuwa kuongeza umri kwa kada hizo kutapunguza gharama kwa Serikali ya kuingia mikataba na wataalamu hao mara wanapostaafu.

Alisema pia uamuzi huo utaongeza muda kwa wataalamu wengine kulitumikia Taifa kwa muda mrefu zaidi na pia kufundisha na kukuza wataalamu wachanga walioko chini.

~ Mwananchi
Tuache hizo, tusomeshe watoto, wazee wa nini?
 
KWA MAONI YANGU,UMRI WA KUSTAAFU KWA LAZIMA KWA WATUMISHI WENGINE WA UMA AMBAO SIO MAPROFESA "URUDISHWE KAMA ZAMANI -MIAKA 55".HII ITASAIDIA SANA VIJANA WETU AMBAO HAWANA AJIRA, NA WENYEWE WAAJIRIWE.WALITUMIKIE TAIFA LAO KWA DAMU YAO YENYE NGUVU.
 
Siungi mkono kwani sio wote wanaokuwa na umri above 60 wanakuwa na uwezo tena hata wa kufundisha, nashahuri ingebaki hivi hivi, ila wale tunao ona wana uwezo wapewe mikataba special ya hiyari.
Hili la mikataba ndio kilichopo kwa sasa na lkinachofanyika ni kujaribu kulifuta hilo. Kutokana na kiwango cha elimu/taaruma wanachokuwa wamefikia ni gharama zaidi kuwalipa kwa mikataba kuliko akiwa mtumishi wa uma bado. Kuna ambao huwa inabidi wahesabiwe masaa, na sio fixed salaries tena.
Atakayekuwa amechoka sana ndio anastaafu kwa hiyari. Naomba tu hii ihishie tu kwa hawa waliobobea, sio meneja, mkurugenzi, mkuu wa wilaya au mkoa. Hizi watu wengi wapo wanaoziweza.
 
Vikao vya kamati za Bunge vimeanza huku miongoni mwa miswada itakayojadiliwa ikiwa ni ule utakaoongeza umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 60 hadi 65 kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa umma.

Marekebisho hayo yapo katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali Namba Tano wa Mwaka 2017 ambao utazihusisha sheria tano ikiwamo ya Utumishi wa Umma sura namba 298 ambapo kifungu kipya cha 25A kitaongezwa.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mohamed Mchengerwa ndio itakayojadili muswada huo ambao utahusisha pia sheria nyingine tano.

Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju lengo la kuongezwa kwa kifungu hicho ni kuweka kwenye masharti ya umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma ambayo hayapo kwenye sheria ya sasa.

“Mapendekezo ya kuongeza kifungu kipya yanalenga kuweka utaratibu mpya wa umri wa kustaafu kwa maprofesa na wahadhiri waandamizi wa vyuo vikuu vya umma na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa hospitali za umma,” alisema.

Alisema mfumo huo mpya unalenga kuongeza umri wa kustaafu wa utumishi wa umma kwa ridhaa kwa maprofesa na wahadhiri waandamizi wa vyuo vikuu vya umma na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa hospitali za umma ili uwe 60 kwa wale wanaostaafu kwa hiari badala ya 55 wa sasa.

Pia, mfumo huo unalenga kuongeza umri wa kustaafu kwa lazima uwe miaka 65 badala ya sasa wa miaka 60 ya sasa.

“Marekebisho haya yanalenga kutekeleza maamuzi ya Serikali yanayolenga kuongeza umri wa kustaafu kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi wa madaktari bingwa wa binadamu kutoka vyuo vikuu vya umma na hospitali za umma,” alisema.

Masaju alisema katika maelezo ya muswada huo kuwa kuongeza umri kwa kada hizo kutapunguza gharama kwa Serikali ya kuingia mikataba na wataalamu hao mara wanapostaafu.

Alisema pia uamuzi huo utaongeza muda kwa wataalamu wengine kulitumikia Taifa kwa muda mrefu zaidi na pia kufundisha na kukuza wataalamu wachanga walioko chini.

~ Mwananchi
Sawa kabisa.Tumeona sehemu mbali mbali za utumishi wa umma zikipwaya sana baada ya wataalam wenye uzoefu kustaafu,zaidi sana katika maeneo yanayohitaji wataalam wa science.Hata hivyo hii imechangiwa zaidi na vijana wengi kuhitimu katika fani zao,lakini kutokuwa na weledi unaotakiwa,jambo ambalo linachangiwa sana na kushuka kwa viwango vya elimu.Sasa labda tujiulize,sawa hao wataalam watabaki,lakini vijana wako trainable?
 
Wakimaliza hiyo wajadili na kuongezeka kwa makato ya bodi ya mikopo ya wanafunzi from 8% to 15 %
 
1. Naona watu fulani wakitengenezewa mazingira ya kufia ofisini kwa kigezo kuwa hakuna vijana wenye uzoefu.
2. Vijana wanaambiwa wajiajiri.
3. Je ni lini wanasiasa nao watajiwekea ukomo wa kugombea, kutumikia???????
 
Back
Top Bottom