nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
Duh, sijui..
Moderator saidia kumuwekea poll huyu jamaa,
kingine ni kwamba wapewe mahakama ya kadhi lakini wajiendeshe wenyewe, kama wataweza ntaamini kwanini Muslim University pale morogoro wameigeuza kuwa kituo cha kucheza karate na shotokan
Yawezekana ilikuwa vigumu sana ku-practise equality na secularism ukizingatia kwa waingereza divide and rule ilikuwa ndio mbinu iliyokuwa inalipa kiutawala. Halafu kuwa na mahakama ya kadhi, ita-fall wapi kwenye judiciary ambayo ni moja ya branches za state.
Mi nilifikiri Islamic Banking ingewatosha ingawaje ni kinyume na cha sheria za nchi ambayo ilisimamiwa na Prof. Assad.
Hawa jamaa mwisho wa siku watadai katiba iseme kigezo cha kuwa raia wa Tanzania ni kuwa muislamu kama kila wanachoomba wanapewa!!
mkuu soma tu hilo tamko la jukwaa la wakirsto wametaja uwepo wa mahakama ya kadhi na ilifutwa mwaka 1964. au hata hilo tamko la viongozi wako unalipinga?leta hiyo document hapa tuijadili au mnamezeshwa ujinga tu na nyie mnakuja kutapika hapa jamvini weka hapa tuone hiyo document ya kadhi kwa tanganyika
mkuu huo ni mtizamo wako tu. mahakama za kadhi zipo sehemu mbalimbali duniani.hayo unayoyasema unayatoa wapi?
kama mwingereza aliweza kutupa mahakama ya kadhi ilitugawanya vipi watanzania? nyerere (mkatoliki) alipata supoti kubwa sana kutoka kwa waislam kupigania uhuru kuliko hata hao wakristo wenzake pamoja na kuwa waingereza walitupa kadhi court. nakushangaa kwa post ya aina hii isiyokuwa na mbele wala nyuma.
Kenya,Uganda mahakama ya Kadhu ipo, Jee wanaendeshwa na Sharia?Umefanya jitihada gani kuzuia ndoa za jinsia moja kanisani?