Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
MUSWADA WA CCM 'KUFUNGIA HAKI ZA BINADAMU KABATINI' NI ASHIRIO MBAYA YA MAANDALIZI YA KUPORA TENA USHINDI KWENYE UCHAGUZI 2015
Nobody competent and qualified enough in our parliament best placed to either openly seek or insinuate to QUALIFY OR RE-ENGINEER code of UN Human Rights as they stand in the charter.
I can see a bill that is most likely to interlock our parliament with home and international NGOs as a protracted fight and legal tusle shall have been ensuing while the hinges on donor community shall equally be seeking to close on Tanzania.
Cha zaidi, kile tunachoambiwa na CCM LEO HII NI KWAMBA HAPO BAADAYE WANAPANGA KUFANYA JAMBO LENYE KULETA MAUDHI KWA UMMA WA TANZANIA hivyo kujitokeza haja ya kujenga mazingira mapema kujikinga na sura mbaya itakayojitokeza.
Ni jukumu la asasi za kirai kuamka usingizini na kujitokeza kupinga juhudi hizi batili zinazopangwa na CCM dhidi ya Haki za Binadamu na hatari inayotungojea hapo 2016.

tatizo hamjui undani wa hili. maandamano ya halali hayawezi kuzuiwa. kitakachozuiwa ni yale maandamano yasiyo na vibali. sheria pia itawapa vyombo vya dola kuwakamata na kuwashitaki wale wote watakaohusika na kupanga na kutekeleza maandamano hayo