Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
Wakfanya ivyo vjna weng watakacha kwenda chuo. Nch za wenzetu vjana wanapata ajira wakiwa mwaka wao wa mwisho. Yan wanamaliza wanakula mktaba.
Mbona umekuwa mkali na matusi juu wakati umshauriwa kajiridhishe?Huna akili wewe.. Eti equity Vs equality.. Tatizo umesoma shule za Kata za kukaririsha.
Pesa ya kuweka akiba chuoni ni ipi? Labda kama unapewa kila kitu na wazazi halafu unapewa na mkopo.... Lakini Nina uhakika wewe mwenyewe umeajiriwa ,wakati mwingine huu wimbo wa ajira unatia hasira sana, kwani ajira imekuwa mbingu? hivi ni lazima kila msomi wa chuo aajiriwe?
ifikie hatua watu tuache kuwaza kuajiriwa, yaani ifanyike namna ya kumfanya kila mwanachuo awaze namna ya kujiajiri akimaliza chuo.
watu huwa wanalia lia mtaji wakati walipokuwa chuo waliishi maisha ya gharama, starehe, wanawaza kupendeza badala ya kuweka akiba au kuwekeza.
Baada ya kumaliza chuo wakipigika mtaani ndio wanaaza kujutia hela walizokuwa wanahonga na kunywea pombe.
Utaratibu mbovu kabisa huo,unajua nchi za magharibi huwa wanafanyaje?Mbona Kenya wanao huu utaratibu mdarefu,na ndio Nchi inatishia kwa wasomi east Africa.. Na wanaendelea Sana, tatizo watanzania mnapenda short cut
Shule zetu za kata zimeingiaje hapa? Umeishiwa mifano mkuu? Unafikiria kwakutumia matak...o nini?Huna akili wewe.. Eti equity Vs equality.. Tatizo umesoma shule za Kata za kukaririsha.
Bila shaka utakuwa umeshafanya mageuzi makubwa nyumbani kwenuSafi sana kama ni kweli maana watu watakuwa wanamaliza Chuo kisha wana endeleza kile walicho anzisha toka primary, kama ufugaji au kilimo au Biashara.
Eti unakuta mtu anasomea Chuo cha Biashara kwa Pesa za Mama yake muuza vitumbua, ana simu ya Milion 1 wakati angeweza kutafuta namna ya kukuza Biashara ya Mama yake na kuifanya iwe Biashara ya Familia.
Au familia yako yote ni watu Kilimo harafu unaenda kusomea sijui IT, matokeo yake huwezi kufanya mageuzi katika Kilimo zaidi ukipata kazi tegemezi kibao mpaka watoto wa Dada zako, lakini ukiungana nao na ukaenda kusomea Kilimo unaweza kufanya mageuzi katika Familia mpaka kijiji na watu wakabadilisha Maisha yao,
Mh nakuelewa sana Mungu akupe nguvu endelea kupiga msumari watu wajitambue zaidi maana bila Msumari wa Kichwa hatutafika.
Pambana na hali yako acha wivu wa kike huo ni umama..
mwajiri hawezi kuajili kilaza akamuacha mtu na mwenye kujiweza kwa sababu za kishamba kama hizo.
Nimeishia la saba ila naweza kukuajiri wewe hadi unakufa na pension yako ya 25% nikakulipia pia huko nssf..Kwa jinsi tu ulivyochangia moja kwa moja inaonyesha kiwango chako cha elimu kuwa duni, maendeleo na uwezo wako wa akili ulivyokuwa underevarage.
Ungekuwa na Elimu na akili ya kutosha usingechangia Kama ulivyofanya.
Kati ya mimi na wewe, wakumuajiri mwenzake nani?me utajiri wangu si ya matambiko na kutoa kafaraNimeishia la saba ila naweza kukuajiri wewe hadi unakufa na pension yako ya 25% nikakulipia pia huko nssf..