Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,011
- 5,688
Hapo vipi!
Kwanini nchi yetu isipitishe sheria ya kufanya wahitimu wa vyuo vikuu waajiriwe baada ya kukaa miaka mitano mtaani.
Serikali Kwa nini isiandaye utaratibu mtu akimaliza chuo kikuu afanye internship katika taasisi za serikali na binafsi Kwa muda wa miaka mitano then Baada ya hapo ndio hawe full qualified kupewe ajira popote.
Hii itasaidia kuleta equity and fair kwenye soko la ajira, kwasbabu sasa hivi kunawatu akimaliza chuo akai hata mwezi mtaani anapata kazi kutokana na connection fulani, fulani then anamuacha mtu aliyekaa mtaani muda mrefu.
Pia itasaidia mtu apate experience wanayoitaji sehemu za kazi.
Pia itasaidia waajiriwa wawe competent katika maeneo ya kazi.
Nawasilisha hoja.