Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,011
- 5,687
- Thread starter
- #21
Hiyo mikopo ndani ya bodi itapatikanaje kama wadaiwa itawawia miaka 5 kuanza irudisha?
Mbona Kenya wanao huu utaratibu mdarefu,na ndio Nchi inatishia kwa wasomi east Africa.. Na wanaendelea Sana, tatizo watanzania mnapenda short cut.