Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Kumekucha kama kawaida na natumaini nyote wadau mko salama . Kwa wale ambao tuko Tanzania mapema leo hii tumeshuhudia muswada unasomwa na ndugu Nagu. Katika Muswada huo kuna mapungufu yamejitokeza wakati wa wabunge kuchangia .
Mwakyembe kaongea vyema sana then Cheyo he spoke for the poor ambao ndiyo wanao angushiwa mzigo kila mara .
Baadaye nimejiuliza na kuona labda ndyiyo maana JK ameamua ku buy time hadi baada ya miezi ili sheria mpya ya kuwakamata watuhumiwa wakiwa wamethibika kwa ushahidi iwe in place . Sheria hii inaonekana kuwagusa wote walio nje na wale ambao wako tayari mahabusu ama kesi zao kuwa Mahakamani haina msaada . Pia sheria inaishia mahakama za Wilaya pekee kule Mahakama za Mwanzo ni kuumizana . Point hapa ni jinsi JK na saga la BOT na hii sheria mpya kupelekwa leo Bungeni . Kwa tafsiri yangu ninakata tamaa kwa kweli .Kwa aliye sikiliza Bunge au kwa wana sheria naombeni msaada .Saa kumi na moja watarudi kuendelea na jambo hili hili .Cheyo kalalama sana .