Musukuma: Tuliinunua CHADEMA kwa bilioni 78

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Akiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM.

Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake nyingine zilipigwa mnada kwa kukosa mill 100 alizokopa benki amewashangaza wengi kwani inakuaje unainunua Chadema mill 78,000 halafu unashindwa kulipa deni la mill 100!!!

Sidhani kama Ndugai alijumuisha na Phd hii ya Msukuma kwenye list yake.
 
Haa alipe kwanza madeni yake
 
Hebu andika vizuri habari yako... kuandika shida unaweza nini sasa?
 
Akiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM.

Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake nyingine zilipigwa mnada kwa kukosa mill 100 alizokopa benki amewashangaza wengi kwani inakuaje unainunua Chadema mill 78,000 halafu unashindwa kulipa deni la mill 100!!!

Sidhani kama Ndugai alijumuisha na Phd hii ya Msukuma kwenye list yake.
Tanzani watu wenye vituko hawakosi ile tu mtu kukaa nyuma ya ''Camera'' ataongea chochote hata km nicha uongo
 
kumbe chadema ilikuwa na gharama kubwa kiasi hiki sasa kama ilinunuliwa kwa bil 78 bei ya kwanza ilikuwa sh ngapi
 
Ndiyo maana yamepoteza dira ,kumbe yalinunuliwa?

Hovyo kabisa haya majizi chadema
 
Back
Top Bottom