Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,650
- 39,748
CCM kuna viwanda vya kuzalisha uongo. Dr bashiru AliChadema ndio mmemsababishia madeni!!
CCM kuna viwanda vya kuzalisha uongo. Dr bashiru AliChadema ndio mmemsababishia madeni!!
Bil 100[emoji12] [emoji12]kumbe chadema ilikuwa na gharama kubwa kiasi hiki sasa kama ilinunuliwa kwa bil 78 bei ya kwanza ilikuwa sh ngapi
Nini maana ya kuandika 1 km huna cha kuchangia si upite kimyaKisa
Kivipi? Kuwahi nafasi nako ni dili ujueNini maana ya kuandika 1 km huna cha kuchangia si upite kimya
Ccm imewekeza kwa wasio elimu na ndio maana nchi hadi leo ina wanyonge ambao nao pia ni mtaji wa hao hao waliowanyonga.Akiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM.
Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake nyingine zilipigwa mnada kwa kukosa mill 100 alizokopa benki amewashangaza wengi kwani inakuaje unainunua Chadema mill 78,000 halafu unashindwa kulipa deni la mill 100!!!
Sidhani kama Ndugai alijumuisha na Phd hii ya Msukuma kwenye list yake.
Hivi ukiuza bidhaa yako kwa bei mliyokubaliana ni wizi siku hizi? Yaani dogo unaonekana mweupe sana kwenye fuvu lako! Yaani unaamini na kusadiki upuuzi ili mradi uwe umesemwa na mvaa green colour na wala hujipi muda wa kutafakari! Hiyo bilioni 78 aliinya wapi ambapo sasa anakosa kuinya japo milioni 100 anayodaiwa? Tumia hata akili za kuazima kwa jirani yako unapoingia humu jf angalau zikusitiri upuuzi wako!Ndiyo maana yamepoteza dira ,kumbe yalinunuliwa?
Hovyo kabisa haya majizi chadema
Ukirudia kusoma ulichopost sijui kama utaelewa ulichoandikaKwahiyo Makongoro Nyerere alivyosema CHADEMA walipogwa pochi usoni hakuna anayebisha
Fanya mia Tisa itapendeza zaidiBil 100[emoji12] [emoji12]
Hii aliisema wapi?CCM kuna viwanda vya kuzalisha uongo. Dr bashiru Ali
Kabisa mkuu msukuma asingekuwa hali hiyo.Chadema rudisheni hata nusu ili walau nyie Chadema Na Lowasa Na Msukuma mgawane nusu hasara.Yaani Mbowe huruma huna unameza bilioni 78 zote kavu kavu Bila hata maji kama unameza panadol kavu Bila maji.Uwe Na hurumaChadema ndio mmemsababishia madeni!!
Kwenye kipindi radio clouds 360Hii aliisema wapi?
Msukuma ana akili za kipumbavu. Anayasema haya Leo? Hakuna mwenye akili atakayewaelewa. Na anatakiwa kama kweli ametamka hayo akamatwe na jeshi.la Polisi ahojiwe. Hakuna sheria ya vyama vya siasa inayoruhusu mtu kununua chama. Msukuma ni stupid.Akiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM.
Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake nyingine zilipigwa mnada kwa kukosa mill 100 alizokopa benki amewashangaza wengi kwani inakuaje unainunua Chadema mill 78,000 halafu unashindwa kulipa deni la mill 100!!!
Sidhani kama Ndugai alijumuisha na Phd hii ya Msukuma kwenye list yake.
Huoni kama huyo ni kichaa na chama lenu la vichaaChadema ndio mmemsababishia madeni!!
weka clip basiKwenye kipindi radio clouds 360
Aaah jishughulishe basi we kila kitu unataka utafutiwe?weka clip basi