Wote vichaa!! Huyu bhangi na frustration zinamtesa sasa hv! Aliaminisha watu yu tajiri sana kuliko ukweli ulivyo! Another Phd at workAkiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM.
Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake nyingine zilipigwa mnada kwa kukosa mill 100 alizokopa benki amewashangaza wengi kwani inakuaje unainunua Chadema mill 78,000 halafu unashindwa kulipa deni la mill 100!!!
Sidhani kama Ndugai alijumuisha na Phd hii ya Msukuma kwenye list yake.