Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Kweli huyu la 7.

Halafu kamtusi Magufuli eti "kajamaa"!!
 
Chadema ni wajinga sana
 
na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya
Very narrow thinking, in so saying kumbe watu wanapewa vyeo kama msaada na siyo kuwatumikia wananchi, kwahiyo Msukuma tangu Dialo aseme yake majuzi ulikwenda chimbo na hizi ndiyo nondo ulizotoka nazo?
 
Hoja ni FAILI MILEMBE MKUU
 
Huyo Dialo kama yuko kamati kuu ya ccm ni mtu hafai huko anajiwakilisha kwa maslahi yake ya kibiashara. Halafu ni mjinga cheti feki.
Diallo hawezi kuwa mjinga hata siku moja. Wewe taga ndie mjinga. Nyie chawa wa mwendazake hamjitambui kabisa.
 
Ka

Kama wewe mwenyewe ambaye hujui huku unajifanya kujua kama msukuma mjinga.
Huyo mtu wenu Msukuma ni mjinga tu, kutokuwa na akili ya kupima mtu anayaongea hadharani ni dalili mbaya ya kutostaarabika.
Sasa tunajua kuwa kuna watu walikuwa wanapoozwa wasimhambuie Mwendazake.Na walikuwa wakifanywa hivyo kwa vile wanatoka kanda pendwa?
Upendeleo huo au ubaguzi huo mbona watu wa Kimara hawakuupata.
Msukuma naye si mwanasiasa, anateteaje mambo ya kijinga kama hayo.
Utanzania kwanza.
 
Gombea na wewe ubunge uone kama wananchi wanaweza kuchagua jitu jingajinga kama wewe.
 
Tatizo la huyu ni shule aende shule kwanza
 
Kwa matendo aliyotenda Mwendazake ni viumu sana kumtetea ndiyo maana huyu Msukuma amesema kuwa Diallo asiongee kwa vile alimpatia mke wake cheo cha DED. STUPID argument
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…