Musukuma adai yeye ni bilionea

Musukuma adai yeye ni bilionea

Sio sahihi sana kukupa hesabu ya mali ninazomiliki lakini ninaweza kuwepo kwenye orodha ya Mabilionea wa Tanzania, siwezi kusema namiliki Billioni ngapi lakini nipo humo, mimi sio msomi, lakini siku hizi Wasomi wapo wengi, nikitaka kujua thamani ya mali zangu nitawapa Wasomi wafanye valuation"

"Nimeanza kumiliki mali muda mrefu, mwaka 1997 nilikutana na Wajanja wa Dar wakanipiga nilifilisika kabisa nikawa sina hata Millioni, kipindi kile kiaka ya 90' Wabunge walikuwa wanapewa GX kama Gari za kutembelea lakini mimi nilinunua Toyota yangu ya kwanza mwaka 1997, kwa Mwanza nzima nilikuwa nayo mimi peke yangu tu"
Nimependa stori yake ni mkweli sana ni mejifunza mengi kutoka kwa maisha yake, vijana sikilizeni hiyo stori yake mtajifunza mengi, huyu jamaa alishawahi kua na mamillioni ya pesa na akafilisika na kua shoe shiner kkoo ila akukata tamaa, aliendelea na kupambana mpaka kua billioneer tena, alisha wahi kuendesha tax pamoja na magufuli, Jpm alikua anendesha usiku mpaka asbuhi yeye mchana tu, kila mtu ana historia yake huwezi kupata utajiri ukika tu kwenye mtandao wa kijamii kukosoa wengine na kutukana, life is risky ni kudhubutu, ni hapo ndo wasomi wetu wanashindwa. Msomi una PhD kweli unalipwa mshahara wa 800,000 kwa mwezi na unaridhika.
 
Kama unamfuatilia anawadharau sana wasomi na kuwaponda sana kwa sababu yeye darasa la saba na katobowa, halafu akiwasikiliza wasomi mule bungeni ni hewa tu hamna kitu.

Sasa ili kuwadharau zaidi katumia pesa yake kununuwa Honorary Causa doctorate.
Sioni kosa la Musukuma, wasomi ndio wameuza au kushangilia bandari kuuzwa, wasomi pale cwt wanashilikiana na serikali kumfilishi Mwalimu
 
Asiwadharau wasomi,kwani hata yeye anawategemea wasomi,kama wote tungetegea na kuishia darasa la Saba? Hao madaktari wa kutibu watu wangetoka wapi wahandisi na wataalamu mbalimbali wangetoka wapi
 
Nimependa stori yake ni mkweli sana ni mejifunza mengi kutoka kwa maisha yake, vijana sikilizeni hiyo stori yake mtajifunza mengi, huyu jamaa alishawahi kua na mamillioni ya pesa na akafilisika na kua shoe shiner kkoo ila akukata tamaa, aliendelea na kupambana mpaka kua billioneer tena, alisha wahi kuendesha tax pamoja na magufuli, Jpm alikua anendesha usiku mpaka asbuhi yeye mchana tu, kila mtu ana historia yake huwezi kupata utajiri ukika tu kwenye mtandao wa kijamii kukosoa wengine na kutukana, life is risky ni kudhubutu, ni hapo ndo wasomi wetu wanashindwa. Msomi una PhD kweli unalipwa mshahara wa 800,000 kwa mwezi na unaridhika.
Hizi story za mafanikio tatizo zinakuwaga na half truths. Ukweli wenyewe haswa hausemwi
 
Tajiri wa mabasi mabovu hana yutong hata moja
IMG-20230609-WA0000.jpeg
 
Alipe kwanza mabilioni👆anayodaiwa kwenye mabenki ambayo amegoma kuyalipa. Kila benki inayomdai anatishia kuchafua wafanyakazi na kuwaweka lock up. Huyu mtu hana credibility ya kuwa mbunge, ila utashangaa kwa nchi hii atarudi tena bungeni. Nchi zinazojitambua asingerudi. Ndio hawa wanachangia kufilisi mabenki. Hiyo link ni benki moja tu ya NBC lakini ukiangalia CRB yake ni chafu chafu tena. Tatizo sio kukopa, ukikopa lipa na ukikwama shirikiana na benki sio kupiga mikwara mbuzi kama hii. Mpaka microfinance amezifilisi, huko bungeni yamejaa mashtaka ya wanaomdai from individuals to taasisi.
 
Watokee wasomi alafu wajanja wampige tena kama miaka ya 90
 
Kishimba ana madini kuliko Msukuma yeye kujigamba tu na utajiri wake.
 
Nimependa stori yake ni mkweli sana ni mejifunza mengi kutoka kwa maisha yake, vijana sikilizeni hiyo stori yake mtajifunza mengi, huyu jamaa alishawahi kua na mamillioni ya pesa na akafilisika na kua shoe shiner kkoo ila akukata tamaa, aliendelea na kupambana mpaka kua billioneer tena, alisha wahi kuendesha tax pamoja na magufuli, Jpm alikua anendesha usiku mpaka asbuhi yeye mchana tu, kila mtu ana historia yake huwezi kupata utajiri ukika tu kwenye mtandao wa kijamii kukosoa wengine na kutukana, life is risky ni kudhubutu, ni hapo ndo wasomi wetu wanashindwa. Msomi una PhD kweli unalipwa mshahara wa 800,000 kwa mwezi na unaridhika.

umeshasema kila mtu anahistoria yake, huyo msomi unayemsema naye historia yake ni shule.. sasa haina maana watu kusoma kama mtu anakaa shule miaka 30yrs then tunataka afuate nyayo za msukuma.

Tusiwatetee wanasiasa kwa kushindwa kuset mifumo itakayoleta unafuu kwa hawa waliojitolea kukaa shule 30yrs otherwise tuwaambie watu wasisome wakimaliza tu lasaba waanze kupambana mtaani.
 
Sio sahihi sana kukupa hesabu ya mali ninazomiliki lakini ninaweza kuwepo kwenye orodha ya Mabilionea wa Tanzania, siwezi kusema namiliki Billioni ngapi lakini nipo humo, mimi sio msomi, lakini siku hizi Wasomi wapo wengi, nikitaka kujua thamani ya mali zangu nitawapa Wasomi wafanye valuation"

"Nimeanza kumiliki mali muda mrefu, mwaka 1997 nilikutana na Wajanja wa Dar wakanipiga nilifilisika kabisa nikawa sina hata Millioni, kipindi kile miaka ya 90' Wabunge walikuwa wanapewa GX kama Gari za kutembelea lakini mimi nilinunua Toyota yangu ya kwanza mwaka 1997, kwa Mwanza nzima nilikuwa nayo mimi peke yangu tu"
 
Kipindi kile anadaiwa na NBC mpaka akatangazwa gazetini ina maana alikuwa halipi deni kwa makusudi?

Ina maana matajiri huwa hawalipi madeni na wapo tayari kudharirika?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom