Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,419
- 5,021
Sio sahihi sana kukupa hesabu ya mali ninazomiliki lakini ninaweza kuwepo kwenye orodha ya Mabilionea wa Tanzania, siwezi kusema namiliki Billioni ngapi lakini nipo humo, mimi sio msomi, lakini siku hizi Wasomi wapo wengi, nikitaka kujua thamani ya mali zangu nitawapa Wasomi wafanye valuation"
"Nimeanza kumiliki mali muda mrefu, mwaka 1997 nilikutana na Wajanja wa Dar wakanipiga nilifilisika kabisa nikawa sina hata Millioni, kipindi kile miaka ya 90' Wabunge walikuwa wanapewa GX kama Gari za kutembelea lakini mimi nilinunua Toyota yangu ya kwanza mwaka 1997, kwa Mwanza nzima nilikuwa nayo mimi peke yangu tu"