balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,698
- 15,433
Utawakemea vipi na wanahela?Hawa watu wasipokemewa kuhusu kudharau wasomi na elimu kwa sababu tu wamefanikiwa kibiashara tutajenga Taifa la hovyo
Utawakemea vipi na wanahela?Hawa watu wasipokemewa kuhusu kudharau wasomi na elimu kwa sababu tu wamefanikiwa kibiashara tutajenga Taifa la hovyo
Ujanja wanao utumia ni kufanya makadirio ya uongo kwenye asset zao kipindi wanaenda kuomba mikopo benki kwahiyo ata vitu vyake vikipigwa mnada anakua hana hasara.Kipindi kile anadaiwa na NBC mpaka akatangazwa gazetini ina maana alikuwa halipi deni kwa makusudi?
Ina maana matajiri huwa hawalipi madeni na wapo tayari kudharirika?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Na sasa anaitwa Dr MsukumaKama unamfuatilia anawadharau sana wasomi na kuwaponda sana kwa sababu yeye darasa la saba na katobowa, halafu akiwasikiliza wasomi mule bungeni ni hewa tu hamna kitu.
Sasa ili kuwadharau zaidi katumia pesa yake kununuwa Honorary Causa doctorate.
Heshima hailazimishwi, ukiona huheshimiwi na usomi wako ina maana watu hawaoni thamani yake, ongeza bidiiHawa watu wasipokemewa kuhusu kudharau wasomi na elimu kwa sababu tu wamefanikiwa kibiashara tutajenga Taifa la hovyo
Bado za DP world.Za ubunge amejazia tu, Msukuma alishatusuwa nadhani kabla ya ubunge.
Ukiona mtu anajipigia debe ana hela ujue kuna kasoro sehemuSio sahihi sana kukupa hesabu ya mali ninazomiliki lakini ninaweza kuwepo kwenye orodha ya Mabilionea wa Tanzania, siwezi kusema namiliki Billioni ngapi lakini nipo humo, mimi sio msomi, lakini siku hizi Wasomi wapo wengi, nikitaka kujua thamani ya mali zangu nitawapa Wasomi wafanye valuation"
"Nimeanza kumiliki mali muda mrefu, mwaka 1997 nilikutana na Wajanja wa Dar wakanipiga nilifilisika kabisa nikawa sina hata Millioni, kipindi kile miaka ya 90' Wabunge walikuwa wanapewa GX kama Gari za kutembelea lakini mimi nilinunua Toyota yangu ya kwanza mwaka 1997, kwa Mwanza nzima nilikuwa nayo mimi peke yangu tu"
Aisee!Ujanja wanao utumia ni kufanya makadirio ya uongo kwenye asset zao kipindi wanaenda kuomba mikopo benki kwahiyo ata vitu vyake vikipigwa mnada anakua hana hasara.
Ubilionea uendena na ulipaji kodi, TRA wapo busy na akina mama ntilie wakati mabilionea mchongo wapo tu na hata kwenye mahesabu ya walipaji wakubwa hatuwaoni.Sio sahihi sana kukupa hesabu ya mali ninazomiliki lakini ninaweza kuwepo kwenye orodha ya Mabilionea wa Tanzania, siwezi kusema namiliki Billioni ngapi lakini nipo humo, mimi sio msomi, lakini siku hizi Wasomi wapo wengi, nikitaka kujua thamani ya mali zangu nitawapa Wasomi wafanye valuation"