Mustakabali wa Mbowe na CHADEMA wazidi kuwa mgumu

Hakuna hoja hapo, Mbowe akishirikiana na Dr Sla ameimarisha cdm kwa muda ambao amekuwa mwenyekiti wa chama na kama lengo lake lilikuwa urais na umaarufu angegombea yeye 2010 badala ya Dr, lakini kwasababu chama kinaongozwa kisayansi walipopokea ripoti ya kitaalam iliyoainisha nani anafaa kuwa mgombea yeye na wana cdm wote waliikubali na ndipo Dr akapewa nafasi ya kugombea urais. Kumbuka hata 2015 chama kitafanya mambo kitaalam zaidi.

Mbowe na Slaa ndio wana kifisidi chama cha Chaggas Development Manifesto (CHADEMA)
 
Slaa atakua ama amedead kwa uzee ama kawa kikongwe haswaa.mbowe we hata usihofu 2015 ni mbali sana
 
Hakuna hoja hapo, Mbowe akishirikiana na Dr Sla ameimarisha cdm kwa muda ambao amekuwa mwenyekiti wa chama na kama lengo lake lilikuwa urais na umaarufu angegombea yeye 2010 badala ya Dr, lakini kwasababu chama kinaongozwa kisayansi walipopokea ripoti ya kitaalam iliyoainisha nani anafaa kuwa mgombea yeye na wana cdm wote waliikubali na ndipo Dr akapewa nafasi ya kugombea urais. Kumbuka hata 2015 chama kitafanya mambo kitaalam zaidi.

Mkuu umesema vizuri. Chadema tulianzisha helikopta ccm wakaiga, tukasema dodoma mji wa Vyuo vikuu mkaiga, Katiba mpaya mkaiga, sasa naona wanataka tuwafundishe jinsi ya kupata wagombea urais. Let them do their home work first.
 
Back
Top Bottom