Mustakabali wa Mbowe na CHADEMA wazidi kuwa mgumu

muwe mnaacha mambo ya kitoto nyie ndio uwezo wenu wa kufikirh upo chini ya kiwangu ndio maana hata mawazo yenu yanafanana kila mtu akipost against kuhusu chafma lazima mumshambulie haijailisg ameandika ukweli au vipi mnakurupuka muwe mnafikiri haiwezekani mda wote tuisifie chadema as if wenyewe wako parfcect wala hakuna migogoro ya chinichini im nimeleta mda ijadiliwe kama unama ipo chini ya kiwango au ni uongo unaipotezea sio kupost pumba

Mkuu punguza Munkari, hatukatazi kuisema vibaya CHADEMA, tatizo ni pale unapojenga hoja ambazo hata mamalishe wa Msoga hawezi kuzitoa dhidi ya chadema. Hii hoja yako ni ya kipumbavu, huo ndio ukweli ukibisha shauri yako
 
Mbowe hana mvuto wa Urais na kamwe hawezi kuwa Rais wa Tanzania.Kama siyo Dr.Slaa 2015,basi CHADEMA wamuandae mtu mwingine lakini siyo Mbowe
 
mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchauzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa.dr slaa pia kuna tundu lissu zitto kabwe na prof baregu.
Source hoja newspaper
Tumeshakuzoea,ndezi wewe! Hunaga jipya.
 
Hashambuliwi mtu; inashambuliwa hoja; ukileta pumba au ugoro jamvini aaahh wakiikubali basi watakuwa wajinga wa mwisho; JF huwezi kuja tu come clean, and talk about issues; Mbowe mbowe what is Mbowe; Ni mwenyekiti; historia itamkumbuka maana leo hii ukiongelea chadema ni akili ya mbowe; aliwachukua akina zitto mlimani akawapa nafasi wengine wakaenda kusoma kwa ushaurii na hali na mali zake ili waje wakiendeleze chama; kama ni investment ni successful investment maana sasa faida iko wazi wana chuo karibu wote wako chadema; so sio lazima awe rais; ametengeneza historia kubwa sana; kuliko magamba ambayo hayana lolote zaidi ya kutuibia; kama mbowe ana mapungufu lakini hayawezi kulingana na JK ambaye chama kimeshuka kwa asilimia kubwa sana wakati mbowe amepandisha by 400%
 
mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchauzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa.dr slaa pia kuna tundu lissu zitto kabwe na prof baregu.
Source hoja newspaper

There is nothing strange if that is happening. That is democracy. Soma katiba ya Chadema. Lazima watu muelewe kwamba ukiritimba wa uongozi ni mambo yaliyopitwa na wakati. Kila mtu katika Chama anayo haki ya kugombea nafasi yeyote ya uongozi kwa misingi iliyowekwa na katiba ya Chama husika. Nafikiri Mbowe anaelewa hivyo.

Jostling for positions of leadership katika organization yeyote ile ni jambo la kawaida. It is not worth the effort to make it an issue.
 
muwe mnaacha mambo ya kitoto nyie ndio uwezo wenu wa kufikirh upo chini ya kiwangu ndio maana hata mawazo yenu yanafanana kila mtu akipost against kuhusu chafma lazima mumshambulie haijailisg ameandika ukweli au vipi mnakurupuka muwe mnafikiri haiwezekani mda wote tuisifie chadema as if wenyewe wako parfcect wala hakuna migogoro ya chinichini im nimeleta mda ijadiliwe kama unama ipo chini ya kiwango au ni uongo unaipotezea sio kupost pumba
Message sent and delivered. Mnh! kamwambieni aliyewatuma kwamba stratergies zote mnazopewa kuishambulia CDM zinagonga mwamba. Kujiunga kwa fujo JF ili kuanzisha threads za kuifitni CDM haiwasaidii. waambieni mabosi wenu kwamba mmegundulika.
 
mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchauzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa.dr slaa pia kuna tundu lissu zitto kabwe na prof baregu.
Source hoja newspaper

siku nyingine njoo na source yenye akili.
 
muwe mnaacha mambo ya kitoto nyie ndio uwezo wenu wa kufikirh upo chini ya kiwangu ndio maana hata mawazo yenu yanafanana kila mtu akipost against kuhusu chafma lazima mumshambulie haijailisg ameandika ukweli au vipi mnakurupuka muwe mnafikiri haiwezekani mda wote tuisifie chadema as if wenyewe wako parfcect wala hakuna migogoro ya chinichini im nimeleta mda ijadiliwe kama unama ipo chini ya kiwango au ni uongo unaipotezea sio kupost pumba

Tukipotezea hutajifunza chochote!
 
Wengine badala ya kufikiria jinsi ya kuwaletea wananchi maendeleo wanatafuta fitina na umbea. kama mlifikiri mlipata huo urais kwa kuwafitini akina Salim ahmed salim, Sumaye na mtaiweza CDM kweli???

Wananchi wa sasa si wale wa 1995 au wale wa 2005. Hiki ni kizazi cha dot com, hata wazee wa vijijini sasa wameshtukia propaganda za magamba. Watu wanataka maendeleo. Angalao MwanaJF mmoja kawakumbusha ahadi zenu (By FJM).

Thanks FJM kwa kuwakumbusha hawa magamba ahadi zao. Maana badala ya kudeliver output wao wanadeliver fitina.
 
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.

Source: Hoja Newspaper

Gazeti la nchi gani hilo?

Try to balance your story.
 
Baelezee..!!
 
Vichaa wengi huanza hivi hivi!
 
Message sent and delivered. Mnh! kamwambieni aliyewatuma kwamba stratergies zote mnazopewa kuishambulia CDM zinagonga mwamba. Kujiunga kwa fujo JF ili kuanzisha threads za kuifitni CDM haiwasaidii. waambieni mabosi wenu kwamba mmegundulika.

Mpe nyingine!
 
Hivi walisema wangeyafanya hayo yote kwa miezi hii sita iliyopita au kwa miaka mitano kuanzia bajeti ya 2011/2012? Kama waliahidi kuwa yote hayo yangetokea kuanzia Novemba 2010 hadi Mei 2011 ni wazi hawajuwi wasemalo. Hii ingekuwa sawasawa na msemo wetu wa kuibadilisha nchi ndani ya siku 100 bila ya kutoza kodi, pamoja na kujenga shule nyingine za sekondari na kuzijaza kila vitendea kazi na hivyo kubomoa zile za kata za CCM ambazo hazina tija, pamoja na kupunguza bei ya simenti ziwe Shg elfu TANO kila mfuko etc. Niliwasikia wao wakiahidi kuyafanya yao hayo ndani ya miaka mitano ijayo; hivyo hatuna sababu ya kuwashutumu sasa kuwa hawajafanya vinginevyo tutajidhihirisha uduni wetu wakati sisi CDM hatutaki tuonekana hayawani tunaojiropokea. Hivyo tuwe waangalifu kwa tunayoyasema pamoja na kuwa na jazba kubwa.
Ninyi watoto wa nyoka acheni kumwaga sumu humu. Mmezewea majungu kama wazazi wenu. Kila kukicha huyu hivi yule vipi. fitna na majungu hamna issue? Haya pelekeni list hii hapa chini kwa hao waliowatuma maana wamejisahau ni nini waliahidi na wajibu wao ni upi.

1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4.Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5.Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6.Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7.Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8.Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9.Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10.Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11.Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12.Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13.Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14.Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15.Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16.Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17.Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18.Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19.Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20.Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21.Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22.Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24.Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25.Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27.Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29.Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30.Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32.Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33.Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34.Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35.Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36.Kulinda haki za walemavu - Makete
37.Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38.Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39.Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40.Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41.Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42.Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43.Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45.Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46.Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47.Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48.Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49.Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50.Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51.Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52.Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53.Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54.Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55.Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56.Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62.Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64.Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65.Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
Back
Top Bottom