King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,806
- 94,893
Umofia kwenu,
Nakumbuka miaka kama mi4 iliyopita watu tulikuwa tunamshangaa mustafa kwa jinsi alivyopungua na kuwa mwembamba hatari,lakini cha kushangaza amerudi tena kwenye ubonge nyanya,vp tena mustafa umeshindwa kujimantain? Au ubonge ni hasili yenu?