★Embu mkuu nipe huo ubaya wake mfano scenes ama uhusika may be dialogue isiyokupendeza mule huenda sikuona vizuri na mimi nikakaze jicho kuangalia tena★
Mwenye kufahamu website ya kupakua CHINESE movies au ASIAN MOVIES zenye kiwango cha BRIP au TSRIP mfano wa fzmovies.net au hdmp4mania.net aziweke hapa twendane na kubana matumizi ya bando
Wakuu ninauza channel ya Netflix yenye unlimited bandle
Njoo pm na offer yako
Hii channel nikishakuunganishia hauyojiunga kamwe kazi yako wewe ni kudownload movies siku zote bila kikomo