Ingia gugo au kwnye website yako andika UNBLOCKIT then zitakuja sites nying chagua YTS ukiingia Kuna sehm ya kusearch unaserch muv unayoitaka then unadownload, Ila kabla ya hapo Sasa hakikisha umeinstall U TORRENT ambayo ukigugo tuu unaipata, Apo utadownload muv zote unazotaka ww