kiukweli movie kama HIDDEN FIGURES ya TARAJ P HEDSON, ACRINOMY ya huyo huyo taraj, FENCES hii movie ni ya 2014 ya DENZEL WASHINGTON, EQUALIZER II, bila kusahau SICARIO II aisee noma,, NOBODY FOOLS, NAPPILY EVER AFTER ETC
Wazee wa movie kuna movie moja hivi ya zamani sana tumekuwa tukiiona, Kuna jamaa alipata mission ya kwenda kuokoa watu ikabidi atafute watu wengine kama saba hivi. ila hawa jamaa walikuwa wanatumia pikipiki katika mission zao ni movie kama imechezewa Vietnam. Naombeni jina kama kunaanae kumbuka