Leo nilipata bahati ya kuiona movie hii. Pamoja na reviews nyingi nilizozisoma kutokuwa nzuri lakini nimeipenda na ni moja ya movies ambapo audience walipiga makofi mengi tu baada ya kuisha kuonyesha kuifurahia movie hii. Na kama trend niliyoina movie theatre leo hii ya watu wengi kutaka kuiona itakuwa katika majumba mengi ya sinema basi si ajabu ikachukua nafasi ya kwanza katika WBO. Kama nafasi inakuruhusu nenda kaione.