Huezi amini hii muvi Ni ya kitambo lakini sijawahi kuiangalia. Mara zote ninapotaka kuidownload nakutana na yenye lugha ya kihindi basi naishia kuachana nayo.
Ntajitahidi kuitafuta kwa kweli
Nimemaliza kuicheki this night hii kitu, nimefurahi namimi kuiona na nimeipenda kwa jinsi 'Khan'(from epiglottis) alivofocus kwenye promise yake mwanzo mwisho
Hivi kuna Movie nzuri zaidi ya hii aliyocheza Sharu Khan? Nimeipenda sana hii Movie hasa pale mama yake alivyokuwa anamwambia
Remember one thing, son. There are only two kinds of people in this world. Good people who do good deeds. And bad people who do bad. That's the only difference in human beings. There's no other difference. Understood? What did you understand? Tell me