Enemy of the state, born legacy, born supremacy, born altimatum, columbus has fallen, white house down na series kama 24hrs, missing, travellor, strike back, jukita etc. There are so many to mention mkuu
HII YA CAPTAIN PHILLIPS NIMEIONA. Kilichonivutia ni kwamba inaonyesha kwa namna ile ile maharamia hawa wanavyofanya utekaji wa meli kandokando mwa bahari ya hindi. Wanatumia mbinu za kizamanizamani kuteka ila ni makatili wa kutisha. Na ndo maana mwishoni mission yao haikufanikiwa hata chembe ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha. uZURI MWINGINE NI KWAMBA IMEBASE KWENYE TRUE LIFE EXPERIENCE
me pia sikupenda ilivyoisha, ila nimegundua hizi series nyingi huwa wanashindwa kuzimalizia ndo mana stori huanza vzr ikikaribia mwisho wana vurunda hata heros kama ulishaiona mwisho waliiharibu sana

ndo mana nikasema huwa wanavurunda zikifika mwishoni, hata tree hill kama ulishaiangalia waliilazimsha kuendelea wakakosa stori basi ikawa majanga matupu mvuto ukaisha

haswaa japo nimeziona chache lakini hakuna nilioina nikajuta kuanzia za love stori mpaka za action zote huwa nzuri mwanzo mwisho alafu kinachonivutiaga zaidi hawana ma sex scene na uvaaji wao ni wa heshima sio kama za wazungu lakini still zinamvuto sana