Zimepita movies nyingi zikiwemo naked weapons, atomic blonde, ANA ila hapo kwa SALT ubongo wangu unakubali kuwa hapata tokea muvi ya mwanamke itaipiku hiyo. Nimesha icheki mara kadhaa..
Kwa zingine ambazo siwezi kuzichoka ni
Agent 47 ile ya kwanza
Lone survivor (ya kivita)
Bourne legacy
No body
White house down
Ipo nyingine ya 2019 kama sio 2020 nimeisahau jina jamaa anagawa dozi humo inataka kufanana na no body
Na nyingine kwa mbali restless