Kwa vijiji nilivyotembea, siwezi kuwapa hauo maua yao.Kwa vijiji nilivyotembea halotel wapewe maua yao
Sisi tusio wafanyakazi ndio hatupati huo udambwiudambwi? 15, 000 kwa 15GB ni deal zuri sana sana sanaaaaCha wafanyakaziView attachment 2651725
Boss kwenye zile server za kupakulie i.e wootly, mixdrop, upstream etc kuna moja huwa ina low quality sio zote huwa ni HDHiii inakula sana mb du
Sio lazima uwe mfanyakazi hata mimi sio mfanyakazi ila natumia cha muhimu uwe na kitambulisho au namba ya NIDA , picha kitambulisho cha nida au mpiga kura au leseni,Sisi tusio wafanyakazi ndio hatupati huo udambwiudambwi? 15, 000 kwa 15GB ni deal zuri sana sana sanaaaa
Kama vile 1GB kwa buku just like old timesSisi tusio wafanyakazi ndio hatupati huo udambwiudambwi? 15, 000 kwa 15GB ni deal zuri sana sana sanaaaa
Naishusha sasa hivi asante kwa taarifaNaona Fast X ipo hewani wakuu
Kisha unaenda tigoShop?Sio lazima uwe mfanyakazi hata mimi sio mfanyakazi ila natumia cha muhimu uwe na kitambulisho au namba ya NIDA , picha kitambulisho cha nida au mpiga kura au leseni,
0676657411Kisha unaenda tigoShop?
Server ipo hapo ina mb ndogo?Boss kwenye zile server za kupakulie i.e wootly, mixdrop, upstream etc kuna moja huwa ina low quality sio zote huwa ni HD
Nahisi ni wootly, ila ukipitia moja moja wakt wa kudownload utajua tuServer ipo hapo ina mb ndogo?
Utupe mrejeshoHii fast x imenifurahisha dakika 20 za mwanzo ngoja niendelee nayo [emoji16]
Iko vyema nimeimaliza. Ni revenge mwanzo mwisho kuna kiumbe humo hakina maskhara kilimpoteza baba yake na safe/vault la hela sasa kina rivenji akina cage humo wanachezeshwa sindimba hadi huruma 😁😁😁Utupe mrejesho
Fast X Vs John Wick 4Iko vyema nimeimaliza. Ni revenge mwanzo mwisho kuna kiumbe humo hakina maskhara kilimpoteza baba yake na safe/vault la hela sasa kina rivenji akina cage humo wanachezeshwa sindimba hadi huruma [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwisho rivenji inahamia kwa the rock... Tukutane ukurasa unaofuatia
Different missions different flavors I like them all. If I was in the position to rate them Id give fast x 7.5/10 and john wick chap4 7/10Fast X Vs John Wick 4
Your opinion please [emoji2960][emoji2960]
Leo nashuka nayo bossIko vyema nimeimaliza. Ni revenge mwanzo mwisho kuna kiumbe humo hakina maskhara kilimpoteza baba yake na safe/vault la hela sasa kina rivenji akina cage humo wanachezeshwa sindimba hadi huruma [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwisho rivenji inahamia kwa the rock... Tukutane ukurasa unaofuatia
Zote nzuri bossFast X Vs John Wick 4
Your opinion please [emoji2960][emoji2960]
Sure [emoji106]Different missions different flavors I like them all. If I was in the position to rate them Id give fast x 7.5/10 and john wick chap4 7/10
Now you understand why I've said I like them all