Naomba mnitajie muvi kali ya kuchinjanachinjana, kuuana vibaya, kutoana makoromeo, kuvujishana ubongo, kupasuana makende, kukatana miguu, kutoboana macho, kumwagana utumbo na wanaonesha mauaji yote bila kuficha chochote, yaani damu ziwe zinatapakaa kila dakika ya muvi. Sijali iwe na story mbaya au nzuri, yoyote ile cha msingi mauaji yawe ya ovyo ovyo tu.
Muvi ya namna hii naihitaji sana, iwe kuanzia 2018 kuja juu. Nitawashukuru sana mkinitajia jina.