Dah, kiongozi wangu nilifanikiwa kuiona "GRAVITY".....
Ni movie poa sana, ilinitilia huruma sana pale "Clooney" alivyoishiwa na gas na power so akapotelea kwenye space wakaachiana na Sandra....
Ni movie ambayo unaiangalia huku moyo upo juu juu as if surroundings zime- lose gravity lol!
Capt Phillips, Tom Hank.... naisaka sana bado!