Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,697
- 44,049
Na wewe ni mweupe pia.....Haha! Lushoto ndo home
Na wewe ni mweupe pia.....Haha! Lushoto ndo home
Kwa akina Gati hukoYote hayo ni Mapenzi
View attachment 390607
Mi sio mweupe.Na wewe ni mweupe pia.....
Halafu amafanana na jamaa fulani hivi mwanashiasha machachari.Yaani jamaa lililobebwa linaonekana kabisa, linaturingishia, full mdeko! Hovyo sana!

Kwa sasa sipo huko.Nikija nitakuPM
Ndugu yangu kumbe Tumepatwa wote! Mambo ya Tanga sio mchezo yaani nikiendaga kumchukua mke wangu nikifika mombo tu Mashine inasimama balaa maana hua nakumbuka Lile lihuduma ntakalopewa nikifika ni balaaWatoto weupe na kibaridi cha kule
![]()
![]()
![]()