Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Yote hayo ni Mapenzi
Wewe ni wa Lushoto?Narudi Lushoto kwa Shambalai
Hapana.....nina interest zangu hukoWewe ni wa Lushoto?
Hahaha!Hapana.....nina interest zangu huko
hahaha...Hutaki kwenda kwa kina Chacha?Narudi Lushoto kwa Shambalai
ExactlyMikao tofauti maan moja
Kumejaa mapenzi ya king'ombeng'ombe bishoo siyawezihahaha...Hutaki kwenda kwa kina Chacha?

Haha! Lushoto ndo homeWatoto weupe na kibaridi cha kule
![]()
![]()
![]()
Yote hayo ni Mapenzi
View attachment 390607
Nikija nitakuPMHaha! Lushoto ndo home
Hahaha...huu ni UchocheziKumejaa mapenzi ya king'ombeng'ombe bishoo siyawezi
![]()
![]()
![]()
Lushoto sehemu gani?Haha! Lushoto ndo home
Kesho tutaleta za Rukwa Vs ShinyangaHeeeeeeeeeeeeeeeeeeh...wekeni basi picha za Mbeya vs Bukoba au Pwani vs Tabora
au Zanzibar vs Sumbawanga au Iringa vs Kigoma