JMK ROYAL SERVICES
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 226
- 83
Kitaji pale tunaruka sarakasi sana,kwenye mafolelo
Ile hotel jirani na dioses,iliitwaje ?Kulikuwa na mbabe mmoja mrefu, kipande cha mtu..! Mtu wa mazoezi sana Mbeba vyuma pale DIOSES halafu fundi Pikipiki, Alikuwa na Pikipiki kubwa Jeusi akiitwa SANCHO mnamkumbuka?
Nimesoma iringo,2005 ,kanjanja alikua na tabia goli likielekea tu kufunga ana chezea channel znagomJa mimi mpk leo niko musoma tokea nimezaliwapo 1995 nimeona mengi mazuri na mabaya ndani ya musoma tokea ile ajari ya meli iliyo lipuka enzi zile kule kastamu
enzi ya makundi ya ugomvi kama west lawama,mbio za vijiti,jamaica mokers,jitume,mdomo wa furu n.k
nakumbka kile kiwanda cha mikate cha mugube na winners
nimesoma shule nyingi za msingi lakn kama
musoma
iringo
mwisenge
john bosco
o level ni mwisenge secondary but a level nimesoma moshi majengo
daah.. Nakumbuka enzi hizo kanjanja na msomi ndo walikua na tv cable
enz za nyanganira na didi msira koko walikua wapinzani kwenye siasa mtaa wa iringo
tulikua tunaogelea kwa marwa jenelo ila maji yalikua marefu kweli
nawakumbka sana hawa maticha mwalimu harrison na mwalimu temu wangap wanawakumbuka?
Musoma love you..
Mimi nilimaliza 1973Hahahhaass noma sana ebu walisoma mwembeni tufahaniane,waliomaliza 2000 kwenda chini darasa la saba
AlishafarikiHivi Askofu JUSTINE SAMBA bado yupo kweli mkuu?
Zamani sana miaka ya sabini mtaa wa Kusaga ulikuwa wa madanguro, wenyewe wakiuita BKB-sikuwahi kutafuta kujua maana yake kwa vile nilikuwa mdogo sana; kwa hiyo watu wa heshima walikuwa hawapiti mtaa huo wakati wa mchana. Kwenda kununua santuli (Shs 12) pale Bonanza House (nimeona online kuwa siku hizi inaitwa Kigera House) iliyokuwa junction ya Mkendo na Kusaga, watu walikua wanazunguka ama kupitia Market street au Mwigobelo.Kwa taarifa yenu. Lile eneo lililoko kati ya stendi. Mtaa wa kusaga, mtaa wa sokoni, na barabara ya Nyerere lilikuwa bustani nzuri katikati kukiwa na maji yatiririkayo. Sina uhkika lakini bustani hiyo imeendelea kulipiwa na serikali ya uingereza kuitunza mpaka ikaleta mzozo halmashauri kwa kuwa hela hizo zilikuwa zinaliwa na wajanja.
Alipewa wakfu wa upadiri nadhani mwaka 1973 au 1974 hivi akiwa bado mdogo sana; alifariki lini?Alishafariki
Padri James namkumbuka, na mimi ni kati ya watoto unaowasema tuliokuwa tukiimba naye wakati wa Askofu John Rudin. Padri James alihamishiwa Busegwe akaletwa Padri Alexander Choka; suji kama bado yupo.Pale kanisa katoliki musoma kulikuwa na Padre James akimaliza misa anavua joho anaanza kupiga makofi watoto waliokuwa wanacheza kanisani.
Miaka ya mwanzoni 70 hiyo.
Bwana alimaliza digrii ya engineering kwa first class, na alikuwa ameajiriwa kufundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ila aliamua kurudi kuendeleza biashara za nyumbani na kuziweka katika levo mpya; nilipta kwenye baa yake mwanzoni mwa miaka ya tisini ilikuwa inatesa sana pale Musoma.Mkuu unamkumbuka Msomi bwana bwana ya Nani? Bwana ya MAMA RHOBI hahahaha
Katika orodha ya Shule umesahau shule ya MusomaMimi Binafsi niliishi Kenedy Street na Shule nilisoma Mwembeni Shule ya msingi.
Ipo mpaka leoNa Metropo enzi hizo mkuu
Disco Centre iliitwa Makongoro Music Centre pale MukendoMkendo Garage, Disco Center, Makoko Center, Mutex, Abel Mwanga, Mutaragara Chirangi, Power Musoma, Bukwaya Express, Musoma Bus, Biafra, Mwigobelo Dispensary, Makoko Pork, Enzi zetu hizo, 1984-1992
Busegwe is my primary school aiseePadri James namkumbuka, na mimi ni kati ya watoto unaowasema tuliokuwa tukiimba naye wakati wa Askofu John Rudin. Padri James alihamishiwa Busegwe akaletwa Padri Alexander Choka; suji kama bado yupo.
Tuweke mapicha ya musoma mjini nime miss sana uwo mjini.....Ipo mpaka leo