Musoma: Tujikumbushe 1980 - 1990

Musoma: Tujikumbushe 1980 - 1990

Kulikuwa na mpiga zeze maarufu. Mzee Nyang'omboti. Alikuwa haoni lakini aliweza kutoka kwake Buhare kwenda sokoni na stendi kupiga zeze lake akiomba.
Mkuu wee ni mbaya aisee kweli yule mzee Nyangombori sijui yuko wapi siku hizi.
 
Mie nakumbuka siku Rais Nyerere, enzi hizo, akija tulikuwa tunapelekwa uwanja wa ndege kumsubiri kushangilia saa tatu asubuhi, yeye anafika saa 11 jioni. Hiyo ni miaka ya 1970.
 
Mie nakumbuka siku Rais Nyerere, enzi hizo, akija tulikuwa tunapelekwa uwanja wa ndege kumsubiri kushangilia saa tatu asubuhi, yeye anafika saa 11 jioni. Hiyo ni miaka ya 1970.
Hahaha kweli tumetoka mbali Sana mkuu.
 
Pale kanisa katoliki musoma kulikuwa na Padre James akimaliza misa anavua joho anaanza kupiga makofi watoto waliokuwa wanacheza kanisani.
Miaka ya mwanzoni 70 hiyo.
 
Pale kanisa katoliki musoma kulikuwa na Padre James akimaliza misa anavua joho anaanza kupiga makofi watoto waliokuwa wanacheza kanisani.
Miaka ya mwanzoni 70 hiyo.
Hivi Askofu JUSTINE SAMBA bado yupo kweli mkuu?
 
Back
Top Bottom