Muslims join Jews for Christmas Day

Tunaendelea"

Koran 33:40
Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the Apostle of God, and the Seal of the Prophets: and God has full knowledge of all things.

somo hili litakuwa ktk sehemu mbili, na sehemu ya kwanza itahusu maandishi ya rangi ya bluu na sehemu ilobaki itajahusu sehemu ya rangi nyekundu.

Sehemu A:

Maandishi ya bluu yanahusiana na mazingira ya Mwamedi kujishushia hii 'ayat'. Kisa kizima cha kusema Mwamedi sio baba wa yeyote (enyi mliomo ktk usilamu) ni kutokana na Mwamedi bila aibu kumuoa mkwewe, mke wa mtoto wake wa khiari. Baada ya minong'ono ya watu kuanza kuhoji uhalali wa kitendo hiki cha kinyama na kishenzi, mtume wa wasilamu made his 'allah' reveal this ayat..33:40 kama tulivyoiona hapo juu. Kusema kuwa 'Mwamedi sio baba wa yeyote kati yenu ' manake ni kuwa aweza kumuoa yeyote kati yenu, yaani manake anajipa blank cheque..ha ha ha..

Nway,hii blank cheque bwana Mwamedi a.k.a Mo hakuifanyia masikhara na mnaweza kupekua hapa JF kwenye thread kadhaa za Mtumishi Max Shimba kushuhudia huyu Mwamedi alivyokuwa lecher wa kutupa.

Ok, labda turudi kwenye hiki kisa cha Mwamedi kumuoa Zaynab bint Jash, aliyekuwa mke wa [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zayd_ibn_Harithah"]Zayd ibn Harithah[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zayd_ibn_Harithah"]
Zayd_ibn_Harithah[/ame]
, ambaye ni mtoto wa khiari wa kiume wa mtume wa wasilamu. Taarifa zasema huyu Zayd ibn Harithah, ambaye badae alijulikana kama Zayd ibn Muhammad alikuwa na damu ya kiafrika. Ktk pitapita zake alasiri moja, Mwamedi akabahatika kwenda kumtafuta Zaid nyumbani kwake (huenda ilikuwa ni janja yake ya muda mrefu kummendea mke wa mwanae). Na kama waswahili twalomga kuwa mwenda bure sio mkaa bure. Ndio. Mwamedi akafanikiwa kumuona binti Jash akiwa ktk hema au chemba yake ktk mkao wa kihasara kidogo, ulosababisha maumbile yake yajioneshe na mtume wa wasilamu uchu wa ngono na mshawasha ukampata hapo,kama fisimaji na ndio mwanzo wa 'kujishushia ayat' kadhaa za:

a) kuharamisha adoption
b) kusingizia kuwa ameoteshwa kuwa bint Jash ni chaguo la allah kuwa mkewe..n.k.

Naye bint Jash baada ya kujua kuwa mtume wa wasilamu anamtamani, akaanza visa ili aachike, ili akale vinono kwa mtume wa wasilamu, maana mtume wa wasilamu alikuwa mtu tajiri wa mali kwa kutokana na kujichagulia vinono kwenye mateka na pia kuhifadhi fungu la allah ktk makusanyo ya mateka.

Naye pia Ziad ibn Muhammad kwa kujua kuwa baba yake ni mtu katili asiye na simile, akaamua kumpa talaka mkewe ili aolewe na Mwamedi. Yaani heri ya nusu shari kuliko shari kamili, kwa upande wa Zaid.

Hii ndio sehemu ya kwanza, na muda ukipatikana inshallah tutaleta hadiths kadhaa kuthibitisha hii kadhia na pia sambamba, tutaendelea na sehemu ya pili, yaani Sehemu B.

Wakatabahu,

Abdulhalim al Masih
 
Labda tuendelee kukazia hii kadhia hadi ieleweke pasi na shaka.

Yafuatayo niliwahi kuyaandika ktk thread, hii:


Ok, koments za kumalizia hii quote ni very interesting. Mwenye akili angavu nadhani atakuwa ameelewa kinachoendelea..


Itaendelea.
 
Hapa mwishoni nimeonelea nisipaache bila kukomenti maana pana utamu wake hapa..teh teh teh..

Hapa tunaona Bw. Zayd (mtoto wa kufikia wa Medi) analalamika kuwa eti mke wake bi. Zaynab hamuheshimu tena na anampanda kichwani kwa maneno makalimakali ambayo kimsingi si hulka ya mabinti wa ki-Quraish, hivi ni tabia typical za wanawake wa ki-Ansari..

Suala la kujiuliza ni kuwa iweje huyu bint abadilike ghafla baada ya kutembelewa na Mwamedi?

Jibu li dhahiri .. kuna kila dalili binti alishavimba bichwa baada ya kuona the most powerful man in the society anatamani ..Sasa njia bora liyobaki ni kwa huyu bint ya kuyafaidi maisha ya kifahari ya kuwa mke wa mtume ni kuanzisha timbwili ndani ya ndoa yake, ili aachike..

Naye Bw.Zayd akijua kabisa kuwa mtume anamtaka mke wake, pia akizingatia pia kuwa Mwamedi ni mtu katili, kigeugeu na mnywa damu za watu waso na hatia, akaonelea ni vyema heri nusu-shari kuliko shari kamili na hivyo kukubali yaishe..

Hii ndo Bibliography ya mtume wa allah..

Veeery interesting..
 
Tunaendelea:

Leo tunaona hadith kuhusu mtume wa wasilamu na ndoa yake kwa mkwewe, mke wa mwanaye Zaynab bint Jash:

 
The previous hadith is supported with hadith below, Hapa tunaona wazo lilelile:


  1. Mwamedi anamtamani mke wa mwanaye Zayd
  2. Zaynab bint Jash anafahamu kuwa mtume wa wasilamu anamtamani, na kwa kusudi kabisa anaanzisha tibwili kwenye ndoa yake kwa Zayd ili aachike, akaolewa na Mwamedi.
  3. Mwamedi bila aibu, anajishushia ayat kujustify uharamia wake na incest and pervertism.
  4. Zayd kukwepa kupoteza uhai wake, plus all favors za kuwa mwana wa mtume wa wasilamu, anatoa talaka kwa shingo upande, and the prophet of Islam had it all!

He he he..
 
Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the Apostle of God, and the Seal of the Prophets: and God has full knowledge of all things.

Tunaendelea na mfululizo wetu. Kutoka kwa Koran 33:40 tunaendelea na sehemu B. Sehemu hii tunaona hii seal of prophecy ilikuwa inachukuliwaje ktk zama zile za uhai wa mtume pedofile wa ndugu zetu wasilamu. Ukifuatilia hii sehemu kwa makini utagundua high gullibility ya watu wale wa kale, na jinsi walivyoweza kuwa proud na gullibility yao, na mtume wawasilamu akiwa mmoja wapo, aliitumia vyema hii fursa.

Sehemu B

 
Tunaendelea:

Leo tunaona hadith kuhusu mtume wa wasilamu na ndoa yake kwa mkwewe, mke wa mwanaye Zaynab bint Jash:
Ulishaambiwa hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye kuchukulia serious kwa post ndefu kama hizi, umepewa na nafasi, lete hoja moja moja ungalie utakavyo pata majibu yake!
Angalia mimi ninkupa kitu kimoja kimoja:
"To communicate anything to a goy about our religious relations would be equal to the killing of all Jews, for if they knew what we teach about them they would kill us openly." - Libbre David 37".
Kazi kwa DR.Barubaru sasa anayetayarisha hoja kuhusu "the Devil deception of the Jews in Tanzania"
SUbrini Mtamuona DR;BARUBARU atakavyofanya vitu vyake hapa.
 
FYI:Na-activate huduma ya ignore listing soon, so maybe ..just maybe this will be your last post machoni kwangu. Ila daawa kama kawa.
Nafikiri anajua nilivyo kuthibiti pale mwanzo ndio maana uliporudi tu kwenye anga zangu nilikuuliza. Umeshakuwa sasa na kuacha matusi yako ya kitoto.

Haj kama analeta za kuleta sema tu nitamkabili kama wewe unavyowatoa kamasi Maxs, Waberoye na October kwa hoja zako nzito nzito na quote kutoka kwenye Bible.

keep it up na Allah atakubariki sana haj
 

Huyu nichieni mimi pekee nitamkabili asiwatie Pressure na hizi hadithi za kutunga.
 
Huyu nichieni mimi pekee nitamkabili asiwatie Pressure na hizi hadithi za kutunga.
naam DR! tunaisubiri kwa hamu thread ya "the devil deception of the jews in Tanzania"
Kusanya tu datas
 
naam DR! tunaisubiri kwa hamu thread ya "the devil deception of the jews in Tanzania"
Kusanya tu datas

he he he..nimebaini kumbe Afif = Beberu = Sideeq

Lakini hiyo hainipi shida, mi kazi yangu ni ndogo tu ..kudhihirisha ukweli na kuuacha mtupu hadharani: Tunaendelea.
 
Huyu nichieni mimi pekee nitamkabili asiwatie Pressure na hizi hadithi za kutunga.

Kumbe sometimes huwa unakuwa mkweli!

Nashukuru umegundua wakamua kinyesi maiti wenzako hoja zangu zinawawia ugumu kwelikweli.

Mimi sitaki uanze na hizi hadith zangu za 'kutunga'. Ningependa uanze kwanza kujibu hoja zangu kuhusu kitabu cha Mwamedi, Koran. Au hata Koran nayo ni ya 'kutunga'? Bwa ha ha ha..
 

Inasikitisha sana ndugu yako ktk Usilamu Ustaadh al Hajj Afif anatukana matusi mazito mitume ya allah pamoja na kwamba ametoka Hijja majuzi tu hapa ..hivi hii inakuwaje dokta Barubaru. Ndio usilamu unavyofundisha hivyo au alienda Hijja kuongeza makali ya lugha chafu au huko Hijja ndo mwaenda ongeza ujuzi wa kutenda dhambi??
 
Inasikitisha sana ndugu yako ktk Usilamu Ustaadh al Hajj Afif anatukana matusi mazito mitume ya allah pamoja na kwamba ametoka Hijja majuzi tu hapa ..hivi hii inakuwaje dokta Barubaru.
Hivi bado utamwita mtu wa namna hiyo ni Muislamu?
 
Abdullah bin Salul alikuwa akitowa Khutba msikitini Madinah , je alikuwa ni Muislamu?

Kama unataka kumsaidia al hajj Afif muandikie muelewane huko chemba ..mie simo kwenye matusi yenu.
 
Kama unataka kumsaidia al hajj Afif muandikie muelewane huko chemba ..mie simo kwenye matusi yenu.
Ulianzisha mada nzuri sana tulikuwa tunaenda kwenye takfiir.
Nilikuwa ninataka kukupa uzoefu, kukuonyesha vipi baadhi ya watu hapa wanaonekana ni vikatuni tu mbele ya macho ya waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…