Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Je wajua kuwa Yesu aliBAKWA? soma hapo
Luke 22 :63 Wale watu waliokuwa wanamchunga Yesu, walimpiga na kumdhihaki.
64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, "Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri tuone!"
Mathew 26: 67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. wakamkanyaga na Wengine wakiwa wanampiga makofi,
Kwa Soo hilo ndipo alipoamua kusepa hapa Duniani.
Hapa Al Haj umenimaliza kabisaaaa yaani na andiko juu.
Ama kweli hawa wayahudi hawafai hata kidogo. Wanamwingilia hata Mungu kinyume cha maumbile.
Labda ndio maana kanisa linaruhusu Ushoga siku hizi.
Umenichekesha sana Haj