Hivi ninitofauti ya Jews na Christians?.
Hivi Yesu alikuwa Jew au Christ? Naomba andiko toka kwenye Bible kufafanua hilo
Kutokana na Biblia, Abraham alikuwa sio Myahudi,Dini yao ya Judaism chanzo chake ni kule Judea na inafuata misingi iilyoachwa wakati wa mzee wao Abraham.
mbona mna hamisha mada inakuwa na mwelekeo tofauti? au mna lenu jambo?
Kutokana na Biblia, Abraham alikuwa sio Myahudi,
ukiendelea utakuja kuona pia Moses alikuwa sio Myahudi.
Kama unataka research, feel free.
Baada ya kukubali kuwa Abraham hakuwa Myahudi (kama Quran inavyotuambia).Ni kweli wakati wa Abraham hakukuwa na Jews ila Jews ni sehemu mojawapo ya descendants wa Abraham
Baada ya kukubali kuwa Abraham hakuwa Myahudi (kama Quran inavyotuambia).
Sasa tunataka kumjua Moses. Je, alikuwa ni Myahudi au si Myahudi.
Kama alhaj Hafif alivyowafahamisha si vibaya kuyarudia maneno yake hapa
"Tutakuwa hatujaitendea haki mada kama hatujui tofauti ya Jews na Christians ndipo tufike kwenye Xmas".
Aya gani hiyo?, quote please.Kwenye Quran yenu si mmedai Wayahudi waligeuzwa kuwa nguruwe na hawapo? Sasa mnazungumzia Wayahudi gani tena?
Moses' Hebrew mother, Jochebed and his father were both Hebrews and were both in Egpty at the time of birth of their son Moshe/Moses. Moses had a Hebrew Sister, Miriam.
As such and according to the Book of Exodus, Moses was born in a time when his people were increasing in number and the Egyptian Pharaoh was worried that they might help Egypt's enemies.
Accordingly, Moshe was a Hebrew by blood. His wife Zipporah was an Ethiopian.
Lete andiko kuthibitisha hilo.Je Moses alikuwa ni Myahudi?
Descendants wa Jacob walikuwa Isrealites ambao ni makabila 12.Moses' Hebrew mother, Jochebed and his father were both Hebrews and were both in Egpty at the time of birth of their son Moshe/Moses. Moses had a Hebrew Sister, Miriam.
As such and according to the Book of Exodus, Moses was born in a time when his people were increasing in number and the Egyptian Pharaoh was worried that they might help Egypt's enemies.
Accordingly, Moshe was a Hebrew by blood. His wife Zipporah was an Ethiopian.
Nafikiri suala la msingi hapa sio story ni kifupi tu.
Lete andiko kuthibitisha hilo.
Kama hujapata jibu from maxshimbaz post basi wewe ni Kichwa maji....
Descendants wa Jacob walikuwa Isrealites ambao ni makabila 12.
Judah alipewa jina la utani (Myahudi) kwa hiyo, ni kizazi cha Judah peke yake walioitwa Mayahudi Originally.
Ili kumjuwa Moses soma hii:
Exodus 6:16-20. "And these are the names of the sons of Levi according to their generations; Ghershon, and Kohath, and Merari.... And the sons of Kohath: Amram.... And Amram took him Jochebed his father's sister to wife; and she bore him Aaron and Moses."
Kwa hiyo Moses alikuwa sio Myahudi kwa sababu yeye sio katika kizazi cha Judah, Moses ni kizazi cha Levite!
Moses alikuwa ni mtoa sheria(Taurat) kwa wana wa Israel.

Calm down Max! Biblia inamuita Abraham Hebrew kwa sababu yeye alikuwa ni mtu kutoka upande mwingine wa Euphrates!MaxShimba said:Hujuwi unacho sema:
Moses' Father Amram alikuwa ndiye kiongozi wa Hebrews wote Egypt. Kama unajuwa unacho sema nimbie baba yake Moses alisema nini kwa Hebrews wote kiasi cha kuwachukiza Hebrews families?
Aidha una matatizo ya kuelewa au umeweka mbele mapenzi ya nafsi yako!MAxShimba said:Mama yake Moses alikuwa anaitwa Jochebed. Thus despite it appearing that they (Amram and Jocheved) were just married and she gave birth to Moses, in fact they remarried. Moses had an older sister and bother (Aaron) from his parents previous marriage to each other. Thus Moses was saved from infanticide, first by the Pharaonic decree and then by the decree of his own father.