Music system ya kuwa nayo.

Music system ya kuwa nayo.

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,666
Reaction score
5,109
Habarini wadau,
Kijana mwenzenu nimezichanga nataka kua na mziki wa hadhi nyumbani kwangu. Kwa budget ya 1.5m naombeni mnishauri music system gani itanifaa kwa matumizi ya nyumbani. Ukiongeza na duka nitakaloukuta itakua poa zaidi.
Naombeni kuwakilisha.
 
Hiyo ni hela nyingi sana kuweka kwenye music tu nunua tu muziki wa kawaida kabisa sony dav t140 inatosha kwa laki 3 inayobak fanya mengine
 
Back
Top Bottom