Music can change the world/lives

Music can change the world/lives

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
10,832
Reaction score
15,032
Kama wiki kadhaa hivi sikua na maelewano mazuri na malkia wangu wa nguvu..Hii ni baada ya wananzengo kumpa umbea kwamba nachepuka...KITU AMBACHO SI CHA KWELI(nimebold kuwasaidia wenye matatizo ya macho)..

Nilijaribu kujitetea na kumuelewesha shemeji/wifi yenu akanielewa ila kwa shingo upande..Nilikugundua hilo baada ya kuona baadhi ya huduma zimesitishwa bila sababu za msingi..Basi Mungu si Kabanga..Jana katika pitapita zangu ndo nikakutana na huu wimbo wa Ruby..Ulinibariki sana.....Nikaamua nimtumie na mpendwa wangu pia..

Leo wakati nataka kutoka akaniita chumbani akaniambia maneno ya kwenye ule wimbo yamemgusa sana so alikuwa anauliza kama na mimi nimeyamaanisha..Nikamwambia ndio..Basi akaanza kulia huku akiongea baadhi ya maneno ambayo yamenichoma sana..Baada ya hapo ikafwata mechi kali..Hapa naandika nikiwa mapumziko..

Ahsante sana Ruby..Ntakuwa shabiki wako forever
 

Attachments

99% ya maisha yangu ni muziki, na hilo halitakuja kubadilishwa kamwe. Ni mengi sana nimejifunza kupitia muziki, music una reminiscense kubwa ya matukio ya zamani. Na unaweza kufikisha ujumbe kwa mtu, kitu ambacho kingehitaji comprehension kubwa kumfikishia mtu kwa maneno ya kawaida.
 
Love dat, Yaani Huo muziki umezungumza na kukutetea kuliko! Wanasema, words seems to cheapen it!! Muziki Unajua kueleza kitu usichoweza kukiwakilisha kwa maneno!!
 
Mpaka nahisi nisiposikiliza music kwa siku moja nitakufa..
 
Back
Top Bottom